Masikini tulio wengi tunakula kimazoea, mshahara wako 400k ila una kitambi

Kwani kijana wako wa 18yrs anaupungufu gani wa afya unao mlazimisha mpaka anywe chai kila siku? Hapo unafikili hao wenye 50+ walianzia hapo hawajawihi kua 18yrs matatizo mengi ya afya huanzia udogoni mkuu.
mwanangu lazima apate breakfast ya nguvu mayai,maziwa ,matunda kwa Santa Mimi baba yake nimekuwa hivyo nipo mtu mzima na nipo fit.

Unafikiri serikali ilipotangaza itatoa uji na chakula shuleni sababu njaa ilichangia ufaulu hafifu then anatoa huyu nguli anasema watu wasipate kifungua kinywa kwa wazee sawa ila kwa vijana wanaokuwa hapana.

Na wale wa mashambani wanaamka saa 11 mashambani kupiga jembe unataka wakae njaa mpaka saa 8 ndio wale chakula you are joking my friend.
 
Sawa kabisa kichwa kimoja kipo deep sana kwenye meditation..
 
Mm naomba kujua mtu mwenye miaka 20-25 anatakiwa awe na uzito kiasi gani ? Na jee ikiwa yupo pungufu au zaidi ya hapo nini kifanyike ?
 
Unafuata maelekezo yote ya mlo kisha unakuja kufa kwa ajali ya Bodaboda!
 

Watu tulipata kitambi kwenye Boom la Chuo wewe unazungumzia mshahara 400k kwa mwezi.

Kitambi ubaya wake ni nguo hazikai mwilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…