Masikini tulio wengi tunakula kimazoea, mshahara wako 400k ila una kitambi

Ni ushauri kwa ajiri ya afya yako masikini kufa kwa ajiri ya bloodpressure sio poa, jua bloodpressure unasababisha na mafuta mengi mwiling mpaka kuleta constral katika mfumo wa mishipa
Angesema tuepuke junk food na sio kutuhesabia milo
 
Hahahaha boss,wewe Ni kichwa Cha familiya,panga naye jinsi ya kukuandalia,ajue unachotaka na usichotaka,akubembelezee hivyo unavyotaka
Unazan huwa anaelewa,kuna wakat ananiletea chakula mpaka kitandani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…