Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Ndugu zangu masikini tuna roho mbaya sana, ajabu tunachukiana wenyewe kwa wenyewe.
Masikini hapendi kabisa kuona mwenzie kapiga hatua kumaisha. Masikini wanaumia hata ukiwa unavaa vizuri, masikini wanaumia kuona wewe unasomesha wanao shule nzuri.
Ukijibana ukafanikiwa kujenga kakibanda kako cha kuishi watasema yule ni mwizi pesa katoa wapi? Masikini hapendi kumuinua masikini mwenzie kila siku anapenda awe nacho yeye tu, masikini tuna roho mbaya sana.