Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Ndio maana kwenye maisha kuna hatua kuzifikia inakubidi kwanza uwe bize sana na mambo yako ili kuepuka wivu na hasadi. Halafu wivu watu wote wanao, unahitaji sababu tu ya kujidhihirisha.Ndugu zangu masikini tuna roho mbaya sana, ajabu tunachukiana wenyewe kwa wenyewe.
Masikini hapendi kabisa kuona mwenzie kapiga hatua kumaisha. Masikini wanaumia hata ukiwa unavaa vizuri, masikini wanaumia kuona wewe unasomesha wanao shule nzuri.
Ukijibana ukafanikiwa kujenga kakibanda kako cha kuishi watasema yule ni mwizi pesa katoa wapi? Masikini hapendi kumuinua masikini mwenzie kila siku anapenda awe nacho yeye tu, masikini tuna roho mbaya sana.
Ukiwa na gari utaambiwa la mkopo...
Unawajua masikini wewe...hawajui hilo...Mkopo ni hela ya mkupuo sasa ni hela yako halali kabisa
Kabisa mkuu!Ndugu zangu masikini tuna roho mbaya sana, ajabu tunachukiana wenyewe kwa wenyewe.
Masikini hapendi kabisa kuona mwenzie kapiga hatua kumaisha. Masikini wanaumia hata ukiwa unavaa vizuri, masikini wanaumia kuona wewe unasomesha wanao shule nzuri.
Ukijibana ukafanikiwa kujenga kakibanda kako cha kuishi watasema yule ni mwizi pesa katoa wapi? Masikini hapendi kumuinua masikini mwenzie kila siku anapenda awe nacho yeye tu, masikini tuna roho mbaya sana.
siwasaidii ndugu zangu masikini,, nilijifunza muda tu labda mtu baki.Umasikini ni laana sana .
Utazaliwa kwenye ukoo wa masikini utajikongoja usome kwa tabu na shida wakisikia shuleni unafaulu watafurah usoni wanaumia moyon
Utamaliza chuo watafurahi kukuona bila kazi ilihali na wao hawana kazi , ukipata watasema unaringa siku hizi , wakikaa kwenye vikao vyao ajabu ni kuwa watazungukana kuja kwako kukopa kwa siri na kusema fulani anakusema kumbe walikusema wote .
Mwisho watatamani siku moja uachishwe kazi waje kukupa pole yaan umasikini hauna jema .
Ndugu ukizaliwa kwenye ukoo wa kimasikini pambana sana utoboe ila kaa mbali na ndugu toa msaada ukiamua sio wao wakupelekeshe lakin usiweke ukaribu na ndugu zako masiki hata kidogo sio wema hata kidogo .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mungu akubariki na akuongezee maarifa zaidi kuna siri ya mafaniko katika kutowasaidia hawa watu .siwasaidii ndugu zangu masikini,, nilijifunza muda tu labda mtu baki.
ukweli mtupuUmasikini ni laana sana .
Utazaliwa kwenye ukoo wa masikini utajikongoja usome kwa tabu na shida wakisikia shuleni unafaulu watafurah usoni wanaumia moyon
Utamaliza chuo watafurahi kukuona bila kazi ilihali na wao hawana kazi , ukipata watasema unaringa siku hizi , wakikaa kwenye vikao vyao ajabu ni kuwa watazungukana kuja kwako kukopa kwa siri na kusema fulani anakusema kumbe walikusema wote .
Mwisho watatamani siku moja uachishwe kazi waje kukupa pole yaan umasikini hauna jema .
Ndugu ukizaliwa kwenye ukoo wa kimasikini pambana sana utoboe ila kaa mbali na ndugu toa msaada ukiamua sio wao wakupelekeshe lakin usiweke ukaribu na ndugu zako masiki hata kidogo sio wema hata kidogo .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Ishi humo yaani jitu ulilisaidia sana na ulipambana liishi vyema .ukweli mtupu