KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Upigaji mkubwa uko kwenye procurement. Mataa hayo ni dili la wahuni wachache.Sasa hivi kuna foleni ya hovyo sana inayochangiwa na ukanjanja wamipango
KERO - Masikitiko yangu Kilwa road na Chang'ombe road inakwenda kuwa na foleni kubwa sana
Sijui hata cha kusema! Lakini masikitiko yangu matokeo ya ufungaji wa taa za barabari Kilwa road na Chang'ombe road yanaenda kuibua kero kubwa ya msongamano wa magari kuliko ilivyo hata hivi sasa. Lengo la taa limelenga kuvusha watembea kwa miguu salama lakini kwa upande wa pili linakwenda...www.jamiiforums.com
Uswahilini kama kurasini na mbagala unawekaje taa kila hatua mia taa! Wakati badala ya taa wangeweka matuta kwenye baadhi ya maeneo kama zebraUPUUZI
Tuliweka maoni mapema sana humu kwanini wasisome! Tatizo wataalam wetu hakuna sheria zinazowabanaUpigaji mkubwa uko kwenye procurement. Mataa hayo ni dili la wahuni wachache.
Siyo kweli! Kwanini baada ya taa ndiyo kuwe hivyo! Hapo kabla madaladala si yalikuwapoIkishaanza mwendokasi dala dala zitapungua ... Foleni inasababishwa na vituo vya daladala ambavyo vipo barabarani mfano pale kwa azizi ally kipo karibu na round about kwa pande zote mbili kwenda mjini na kwenda Mbagala .. wala tusisingizie taa za barabarani
Wanajua kila kitu, ila njaa hufubaza akiliTuliweka maoni mapema sana humu kwanini wasisome! Tatizo wataalam wetu hakuna sheria zinazowabana
Matuta yanavipimo vyake mkuu.Uswahilini kama kurasini na mbagala unawekaje taa kila hatua mia taa! Wakati badala ya taa wangeweka matuta kwenye baadhi ya maeneo kama zebra
Vipimo gani! Naposema mapana nimetumia kiswahili chepesi ili na wewe uelewe! Au unataka niandike kwa kimomboMatuta yanavipimo vyake mkuu.
Usiwe na makasiriko mkuu.Vipimo gani! Naposema mapana nimetumia kiswahili chepesi ili na wewe uelewe! Au unataka niandike kwa kimombo
Kwahio KILWA ROAD foleni imeanza baada ya taa? Pale jkt mgulani kila asubuhi na jioni gari zinashonana vibaya sana kabla ya taa. Afadhali kusubiria taa kuliko ile vurugu.Siyo kweli! Kwanini baada ya taa ndiyo kuwe hivyo! Hapo kabla madaladala si yalikuwapo
Centro njia moja imefungwa hilo liko wazi!Kwahio KILWA ROAD foleni imeanza baada ya taa? Pale jkt mgulani kila asubuhi na jioni gari zinashonana vibaya sana kabla ya taa. Afadhali kusubiria taa kuliko ile vurugu.
Pale chuo cha polisi jioni Kuba foleni hadi mivinjeni,kisa ni daladala zinapaki barabarani.
Pale central police to sgr station jioni kuna foleni balaa kisa ujenzi usioeleweka zaidi ya miezi mitatu sasa. Halafu foleni hizi unasingizia taa. Acha taa zifanye kazi madereva hamuwezi kujiongoza wote akili kama bodaboda.
Sijui hata cha kusema!
Lakini masikitiko yangu matokeo ya ufungaji wa taa za barabari Kilwa road na Chang'ombe road yanaenda kuibua kero kubwa ya msongamano wa magari kuliko ilivyo hata hivi sasa.
Lengo la taa limelenga kuvusha watembea kwa miguu salama lakini kwa upande wa pili linakwenda kuzalisha tatizo la foleni ya kujitakia!
Nashauri badala ya kuweka taa nyingi namna ile! Wangeweka taa sehemu chache ambazo ni muhimu tu na huko kwingine wakaweka matuta standard mapana ili kuruhusu Traffic flow.
Mbali na msongamano itakuja kulazimisha ongezeko la askari kusimama kwenye mataa ili kuruhusu magari ambao wangefanya kazi nyingine.
Siamini kama kweli hawa wanaofunga hawajui kwamba taa kila hatua 100 zinaongeza foleni unless huu mradi ulikuwa na faida kwa baadhi ya watu kupiga!
Tatizo budget nayo ni nyembamba!!Yote kwa yote ila kwann barabra zimetengenezwa nyembamba vile!!
Hizo sehemu nilizokwambia hata kabla ya taa kunakuwa na foleni kubwa sana unaweza poteza saa nzima .. kubali kataa vituo vya daladala vipo barabarani mnoSiyo kweli! Kwanini baada ya taa ndiyo kuwe hivyo! Hapo kabla madaladala si yalikuwapo
Kwani wakivuka juu ya tuta pana lenye zebra kuna shida gan?Kumbuka wavuka kwa miguu nao wanahaki tena ya msingi sana, hao na ni watoto, baba na mama za watu, tusiangalie upande mmoja tu, ni vyema kubalance kila mtu apate haki yake.
Kuna watu akili zao zina mentality za ukijijini sana hadi leo huona mataa ni ni kipimo cha maendeleo au fahariSasa hivi kuna foleni ya hovyo sana inayochangiwa na ukanjanja wamipango
KERO - Masikitiko yangu Kilwa road na Chang'ombe road inakwenda kuwa na foleni kubwa sana
Sijui hata cha kusema! Lakini masikitiko yangu matokeo ya ufungaji wa taa za barabari Kilwa road na Chang'ombe road yanaenda kuibua kero kubwa ya msongamano wa magari kuliko ilivyo hata hivi sasa. Lengo la taa limelenga kuvusha watembea kwa miguu salama lakini kwa upande wa pili linakwenda...www.jamiiforums.com