Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Magari hayasimamii boda ndio hata usiulizeKwani wakivuka juu ya tuta pana lenye zebra kuna shida gan?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magari hayasimamii boda ndio hata usiulizeKwani wakivuka juu ya tuta pana lenye zebra kuna shida gan?
Ni kweli hatukatai maendeleo ila huyu aliyebuni huu mradi na kupendekeza sijui aliwaza nini? Umeshapita hiki kipande kuanzia ulipokuwa mzunguko wa BP kuja stesheni? Kwanza njia ni moja tu mpaka unafika posta ya zamani na kibaya sasa hizo taa na zinavyoongoza unakuta ya mbele nyekundu ya nyuma yake inawaka kijani. Najiuliza gari zitatembea kweli? na je gari ikipata hitilafu zingine zitapita wapi? Huku mjini hakukutakiwa kuwa na njia nyembamba kwani mwendi kasi wangeunga ikapita kamata hadi kariakoo ikaunga na za morogoro road kulikuwa na shida gani mpaka kuja haribu mji hivi? sasa hivi mjini ni foleni mnoSijui hata cha kusema!
Lakini masikitiko yangu matokeo ya ufungaji wa taa za barabari Kilwa road na Chang'ombe road yanaenda kuibua kero kubwa ya msongamano wa magari kuliko ilivyo hata hivi sasa.
Lengo la taa limelenga kuvusha watembea kwa miguu salama lakini kwa upande wa pili linakwenda kuzalisha tatizo la foleni ya kujitakia!
Nashauri badala ya kuweka taa nyingi namna ile! Wangeweka taa sehemu chache ambazo ni muhimu tu na huko kwingine wakaweka matuta standard mapana ili kuruhusu Traffic flow.
Mbali na msongamano itakuja kulazimisha ongezeko la askari kusimama kwenye mataa ili kuruhusu magari ambao wangefanya kazi nyingine.
Siamini kama kweli hawa wanaofunga hawajui kwamba taa kila hatua 100 zinaongeza foleni unless huu mradi ulikuwa na faida kwa baadhi ya watu kupiga!
Ni chaos, mkuu.. halafu hizi barabara za mwendo kasi vituo kila vaada ya mita 200! enzi hizi za magonjwa ya NCDs na watu wavivu wavivu mnaweka vituo kila baada ya mita 100 au 200? vituo viwekwe sehemu za muhimu tu ili watu watembee wafanye mazoezi, Barabara zitengenezwe vizuri na zijumuishe pedestrian lane ili watu watembee wafanye mazoeziNi kweli hatukatai maendeleo ila huyu aliyebuni huu mradi na kupendekeza sijui aliwaza nini? Umeshapita hiki kipande kuanzia ulipokuwa mzunguko wa BP kuja stesheni? Kwanza njia ni moja tu mpaka unafika posta ya zamani na kibaya sasa hizo taa na zinavyoongoza unakuta ya mbele nyekundu ya nyuma yake inawaka kijani. Najiuliza gari zitatembea kweli? na je gari ikipata hitilafu zingine zitapita wapi? Huku mjini hakukutakiwa kuwa na njia nyembamba kwani mwendi kasi wangeunga ikapita kamata hadi kariakoo ikaunga na za morogoro road kulikuwa na shida gani mpaka kuja haribu mji hivi? sasa hivi mjini ni foleni mno
Halafu watu wanaunga mkono eti ni maendeleo; maendeleo ya kuchelewa kazini ni ujinga!Aisee hi foleni ni ya kufa mtu.
Hawa watawala wapigaji wafikirie upya
Hayo ni mahesabu ya kawaida tu siamini walioidhinisha hilo kama wako sawaDuu ! Foleni balaa ! Siku za nyuma nilikuwa nikitoka Temeke sipiti taa za Changómbe napitia JKT then Kilwa Road Posta nilikuwa nafika chap ! Lakini leo ! Duu imenichukua karibu saa nzima ! Sipiti tena Kilwa Road taa zinachelewsha kinoma !
Kuna watu hawajielew ndugu kila kitu kwao ni kusifia tu hawajui kukoseaHalafu watu wanaunga mkono eti ni maendeleo; maendeleo ya kuchelewa kazini ni ujinga!
Jana ilikuwa balaa na nusu ndugu kweli tulijioneaHayawi hayawi sasa imekuwa subiri mtajioonea wenyewe
Basi tushukuru Mungu kama wametusikiliza na huu ndiyo uungwana kusikilizanaNi kweli kabisa! Jana jioni nilikuta taa zimezimwa foleni hakukuwa na foleni tena
Kama kweli wamezima basi angalau huenda watu watawahi ofisiniZile taa ni kweli zilikuwa miyeyusho mbona walivyozima foleni ikaisha! Naunga mkono mtoa mada upo sahihi
Tuwasamehe tu wana watoto wanasomesha kwa njia hiyoUle ni uchafuzi wa Barabara.
Kweli kabisaHaihitaji elimu kubwa kulitambua hili ila kilichofanyika barabara ile ni upumbavu wa hali ya juu. Uwepo wa taa za barabarani hatulipingi ila sio utitiri wa kiasi kile
Foleni itakwisha mwendokasi ikianza kwani daladala zote zitaondoka.vSasa hivi kuna foleni ya hovyo sana inayochangiwa na ukanjanja wamipango
KERO - Masikitiko yangu Kilwa road na Chang'ombe road inakwenda kuwa na foleni kubwa sana
Sijui hata cha kusema! Lakini masikitiko yangu matokeo ya ufungaji wa taa za barabari Kilwa road na Chang'ombe road yanaenda kuibua kero kubwa ya msongamano wa magari kuliko ilivyo hata hivi sasa. Lengo la taa limelenga kuvusha watembea kwa miguu salama lakini kwa upande wa pili linakwenda...www.jamiiforums.com
hakuna taasisi yenye watendaji mizigo kama tanroads aiseeSasa hivi kuna foleni ya hovyo sana inayochangiwa na ukanjanja wamipango
KERO - Masikitiko yangu Kilwa road na Chang'ombe road inakwenda kuwa na foleni kubwa sana
Sijui hata cha kusema! Lakini masikitiko yangu matokeo ya ufungaji wa taa za barabari Kilwa road na Chang'ombe road yanaenda kuibua kero kubwa ya msongamano wa magari kuliko ilivyo hata hivi sasa. Lengo la taa limelenga kuvusha watembea kwa miguu salama lakini kwa upande wa pili linakwenda...www.jamiiforums.com