kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
ni kweli,lakini zimeimarisha sana usalama wa waendao kwa miguu!!...ila leonimecheka san,kuna sauti zinatoka kwenye izo nguzo zikisema "stop,stop,simama"basi bhana kuna mzee mmoja ni mlinzi sehem flan hapa kurasni,namfaham,nimemkuta kasimama zaidi ya nusu saa,nikamuuliza mbona umesimama,akasema natii amri ya trafiki,,,daSasa hivi kuna foleni ya hovyo sana inayochangiwa na ukanjanja wamipango
KERO - Masikitiko yangu Kilwa road na Chang'ombe road inakwenda kuwa na foleni kubwa sana
Sijui hata cha kusema! Lakini masikitiko yangu matokeo ya ufungaji wa taa za barabari Kilwa road na Chang'ombe road yanaenda kuibua kero kubwa ya msongamano wa magari kuliko ilivyo hata hivi sasa. Lengo la taa limelenga kuvusha watembea kwa miguu salama lakini kwa upande wa pili linakwenda...www.jamiiforums.com