KERO Masikitiko yangu Kilwa road na Chang'ombe road inakwenda kuwa na foleni kubwa sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
ni kweli,lakini zimeimarisha sana usalama wa waendao kwa miguu!!...ila leonimecheka san,kuna sauti zinatoka kwenye izo nguzo zikisema "stop,stop,simama"basi bhana kuna mzee mmoja ni mlinzi sehem flan hapa kurasni,namfaham,nimemkuta kasimama zaidi ya nusu saa,nikamuuliza mbona umesimama,akasema natii amri ya trafiki,,,da
 
Hahah
 
Jana ilikuwa balaa na nusu ndugu kweli tulijionea
Da jana ilikuwa balaa maana kilwa road ilikuwa haitemebi na milori sasa yaani waliobuni huu mradi sijui waliwaza nini. Imekuwa ni mateso kwa watu wanaotumia njia ya Kilwa Road to Kigamboni, Mbagala. Huku mjini kila njia zitapitishwa mwendo kasi sasa gari za kawaida zipite wapi? mbona balaa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…