Uchaguzi 2020 Masimango ya kudharau miundombinu yetu, maendeleo yetu, hospitali yetu adhabu yake ni kukunyima kura upate 0%

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Unapodharau mradi wa REA umedharau hadhi yetu, utu wetu, ubinadamu wetu unataka wanaonufaika na umeme huo waone kawaida wewe Tundu Lisu tutakuadhibu tar 28/10/2020 kwenye sanduku la kura "Tuachie shujaa wetu Magufuli atusambazie umeme vijiji vyote Tanzania"

Unapodharau miundombinu ya Bwawa la umeme ina maana huna huruma na vijana wanaoteseka kukosa ajira ina maana unataka watu waendelee kutozwa umeme kwa bei kubwa ww Tundu Lisu acha unafiki, anayetuhurumia na kutambua hadhi yetu ni yule anayeona umuhimu wa sisi kupunguziwa umeme maana gharama za umeme zinatesa sana watu " Magufuli shujaaa wetu kanyaga twende"

Unapopuuza ujenzi wa Reli ya kisasa wewe mnafiki wewee Tundu Lissu lopolopo unamaanisha unataka watu waendelee kuteseka na Usafiri wa Mabasi wa kutwa nzima usiku kucha tunahangaika "Rais Magufuli shujaa wetu kanyaga twende"

Magufuli ameleta hadhi na heshima ya Mtanzania ameiheshimisha Tanzania

Magufuli ameleta hadhi na utu wa mtanzania tunaheshimika sasa popote tuendako

Huruma ya Magufuli imeonakana kwa Machinga, mamantilie, bodaboda, wakulima na wafugaji

Miradi ya Magufuli ya maji inamtua ndoo mama

# Octoba2020 tutampa Magufuli ushindi wa 100%
 
Hiyo kura yako haihitaji! Pigia mataga wenzio!
 
Wee jamaa unastahili mitama
 
M

Mkuu, ukiona una mtoto harafu anakubeza maisha uliyonayo harafu Kila kitu anategemea kwako, huyo anakuwa ni baruti inayosubiri kulipuliwa.
 
Fungulieni uhuru wa vyombo vya habari, Watanzania wasikie na kuamua wenyewe...
Unapodharau mradi wa REA umedharau hadhi yetu, utu wetu, ubinadamu wetu unataka wanaonufaika na umeme huo waone kawaida wewe Tundu Lisu tutakuadhibu tar 28/10/2020 kwenye sanduku la kura "Tuachie shujaa wetu Magufuli atusambazie umeme vijiji vyote Tanzania"

Unapodharau miundombinu ya Bwawa la umeme ina maana huna huruma na vijana wanaoteseka kukosa ajira ina maana unataka watu waendelee kutozwa umeme kwa bei kubwa ww Tundu Lisu acha unafiki, anayetuhurumia na kutambua hadhi yetu ni yule anayeona umuhimu wa sisi kupunguziwa umeme maana gharama za umeme zinatesa sana watu " Magufuli shujaaa wetu kanyaga twende"

Unapopuuza ujenzi wa Reli ya kisasa wewe mnafiki wewee Tundu Lissu lopolopo unamaanisha unataka watu waendelee kuteseka na Usafiri wa Mabasi wa kutwa nzima usiku kucha tunahangaika "Rais Magufuli shujaa wetu kanyaga twende"

Magufuli ameleta hadhi na heshima ya Mtanzania ameiheshimisha Tanzania

Magufuli ameleta hadhi na utu wa mtanzania tunaheshimika sasa popote tuendako

Huruma ya Magufuli imeonakana kwa Machinga, mamantilie, bodaboda, wakulima na wafugaji

Miradi ya Magufuli ya maji inamtua ndoo mama

# Octoba2020 tutampa Magufuli ushindi wa 100%
 
Thread za CCM huwa zinanichosha sana
Na kazi ya uenezi kipindi hiki ambacho ni sensitivu kuliko vingine wanapewa hawa misukule wanaoshabikia tu bila kujua kwanini wanashabikia. Na kulitambua hili CCM inatumia ujinga wa watu wake kama daraja la kuendelea kutawala na wakishatawala hawa mataga ndiyo wanakuwa wamesahaulika maana hata kupewa nafasi ya kulinda vyoo vya halmashauri hawapewi!
 
Halima Mdee 👇 anataka maji, barabara na afya (tena Mdee kasifia barabara ya Mwenge - Tegeta kumaliza foleni na kuokoa muda). Wakati huo anataka wapelekewe barabara ya lami chuo kikuu cha ardhi mpaka Madale

Bunge Polis

Halafu anakuja Lissu anakwambia miundombinu aina tija na kuna watu wanamshangilia.
 
mara amesifia mara amedharau, tushike lipi sasa, lumumba wanajichanganya sana. go lissu go....
 
Msingi wa yote ni kuwa na:

IMG_20200804_210728_515.jpg

Anachukiwa kwa kutoweka umuhimu katika hayo.

Yeye mwenyewe anayahitaji hayo matano kuishi katika jamii ambapo yeye si mkuu.

Ni ujuha uliopitiliza toka kwake na wapambe wake kutokuliona hilo au kujifanya hamnazo (kutokuliona).

Mbona nafasi ya kukubalika bila kulazimisha ilikuwa bado ipo? Kwa nini asibadilike akakubalika hata na wanaopendekeza naye kwa sababu hizi? Au sababu hizi zinamkwaza yeye au nani vipi?

Haieleweki hata mnataka nini?

Hilo ndiyo sikio la kufa!
 
Halima Mdee 👇 anataka maji, barabara na afya (tena kasifia barabara ya Mwenge - Tegeta kumaliza foleni na kuokoa muda). Wakati huo anataka barabara ya lami chuo kikuu cha ardhi mpaka Madale

Bunge Polis

Halafu anakuja mtu anakwambia miundombinu aina tija na kuna watu wanamshangilia.

Utakuwa huelewi kwa nini meko anachukiwa au ni kujifanya hamnazo tu?

Kwani miundombinu bora inazuiliwa vipi kama angekuwa ni mtu:

IMG_20200804_210728_515.jpg

Haka ka uminywaji ka haki na demokrasia ndiko kanakomuweka meko katika hiyo daraja ya chini huko anakolalamikiwa na hata kuonekana ni asiyefaa kabisa.

Hivi hawezi kubadilika? Kwani ana taabu na lipi kwenye hiyo list ya takribani mambo 6 tu?

Pana hatari ya kuwa kila mtu yu anamshangaa mwingine. Yaani unavyoshangaa wewe na wenzio wanakushangaa hivyo hivyo labda hata kukuzidi.
 
Sema utamuadhibu wewe maana Mimi Sina akili za kushikiwa najua Kuna mazr yamefanyulika na Mbaya mengi yamefanyika kwa mtazamo wangu Magufuli amechoka anahitaji kuoumzika
 
Unapodharau mradi wa REA umedharau hadhi yetu, utu wetu, ubinadamu wetu unataka wanaonufaika na umeme huo waone kawaida wewe Tundu Lisu tutakuadhibu tar 28/10/2020 kwenye sanduku la kura "Tuachie shujaa wetu Magufuli atusambazie umeme vijiji vyote Tanzania"

Unapodharau miundombinu ya Bwawa la umeme ina maana huna huruma na vijana wanaoteseka kukosa ajira ina maana unataka watu waendelee kutozwa umeme kwa bei kubwa ww Tundu Lisu acha unafiki, anayetuhurumia na kutambua hadhi yetu ni yule anayeona umuhimu wa sisi kupunguziwa umeme maana gharama za umeme zinatesa sana watu " Magufuli shujaaa wetu kanyaga twende"

Unapopuuza ujenzi wa Reli ya kisasa wewe mnafiki wewee Tundu Lissu lopolopo unamaanisha unataka watu waendelee kuteseka na Usafiri wa Mabasi wa kutwa nzima usiku kucha tunahangaika "Rais Magufuli shujaa wetu kanyaga twende"

Magufuli ameleta hadhi na heshima ya Mtanzania ameiheshimisha Tanzania

Magufuli ameleta hadhi na utu wa mtanzania tunaheshimika sasa popote tuendako

Huruma ya Magufuli imeonakana kwa Machinga, mamantilie, bodaboda, wakulima na wafugaji

Miradi ya Magufuli ya maji inamtua ndoo mama

# Octoba2020 tutampa Magufuli ushindi wa 100%
Del
Delete ccm Oct 28
 
Weka namba yako ya simu
 
Back
Top Bottom