Uchaguzi 2020 Masimango ya kudharau miundombinu yetu, maendeleo yetu, hospitali yetu adhabu yake ni kukunyima kura upate 0%

Unapodharau mradi wa REA umedharau hadhi yetu, utu wetu, ubinadamu wetu unataka wanaonufaika na umeme huo waone kawaida wewe Tundu Lisu tutakuadhibu tar 28/10/2020 kwenye sanduku la kura "Tuachie shujaa wetu Magufuli atusambazie umeme vijiji vyote Tanzania"

Unapodharau miundombinu ya Bwawa la umeme ina maana huna huruma na vijana wanaoteseka kukosa ajira ina maana unataka watu waendelee kutozwa umeme kwa bei kubwa ww Tundu Lisu acha unafiki, anayetuhurumia na kutambua hadhi yetu ni yule anayeona umuhimu wa sisi kupunguziwa umeme maana gharama za umeme zinatesa sana watu " Magufuli shujaaa wetu kanyaga twende"

Unapopuuza ujenzi wa Reli ya kisasa wewe mnafiki wewee Tundu Lissu lopolopo unamaanisha unataka watu waendelee kuteseka na Usafiri wa Mabasi wa kutwa nzima usiku kucha tunahangaika "Rais Magufuli shujaa wetu kanyaga twende"

Magufuli ameleta hadhi na heshima ya Mtanzania ameiheshimisha Tanzania

Magufuli ameleta hadhi na utu wa mtanzania tunaheshimika sasa popote tuendako

Huruma ya Magufuli imeonakana kwa Machinga, mamantilie, bodaboda, wakulima na wafugaji

Miradi ya Magufuli ya maji inamtua ndoo mama

# Octoba2020 tutampa Magufuli ushindi wa 100%
" Octoba2020 tutampa Magufuli ushindi wa 100% ".

Ni vyema ungezungumzia wewe nafsi yako tu.
 
Kweli elimu yetu imeshuka sana. Vijana wetu hawawezi kuandika hoja ili watu wajadili. Wanaleta mipasho.

Sasa kama huyu, huwezi kuelewa ni mhitimu wa elimu ya msingi au kidato cha nne au aliishia chini ya kidato cha 4. Anavyoongea haina tofauti na wale wambea wa mitahani ambao hawahitaji elimu yoyote ya darasani ili kuwa wambea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini huwa unachangia nyuzi za wapuuzi kama hawa? Hii mijinga ya Lumumba inatakiwa hakuna hata kufungua nyuzi zao.
Mtu hataishi kwa mkate tu! Kwa hiyo wewe ukimnyima kura ndo unaamini atapata 0%?!! Hii ina maana basi kuwa Hugo mgombea wenu atapata 0% kwa kuwa mimi sitampigia!
 
18 Agosti 2020
Iringa, Tanzania

"RAIS MAGUFULI ASITUSIMANGE KWA KUNUNUA NDEGE NA KUJENGA BARABARA" - TUNDU LISSU

Chato ni kijiji , miji ya Katoro, Kahama ni mikubwa kuliko Chato, lakini chini ya miaka 3 kumejengwa uwanja wa ndege wa kimataifa Chato kwa manufaa binafsi ya Rais. Julius Nyerere hafufanya hivyo, Mwinyi hakufanya hivyo, Mkapa na Kikwete pia hawakufanya hivyo...

ukatili na udhalimu katika miaka 5 wengi waliuawa, viongozi wa kisiasa wakiuawa, waandishi wanapelekwa kituoni hawarudi, msanii Roma Mkatoliki .. Bunge limezimwa spika anapokea maagizo toka Ikulu...

Haya ni mambo Mpya katika miaka mitano.
Source : CHADEMA MEDIA TV
 
Back
Top Bottom