Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Democratically atuwezi wote kukaa pamoja jimbo zima tuchague tunataka nini.Utakuwa huelewi kwa nini meko anachukiwa au ni kujifanya hamnazo tu?
Kwani miundombinu bora inazuiliwa vipi kama angekuwa ni mtu:
View attachment 1539263
Haka ka uminywaji ka haki na demokrasia ndiko kanakomuweka meko katika hiyo daraja ya chini huko anakolalamikiwa na hata kuonekana ni asiyefaa kabisa.
Hivi hawezi kubadilika? Kwani ana taabu na lipi kwenye hiyo list ya takribani mambo 6 tu?
Pana hatari ya kuwa kila mtu yu anamshangaa mwingine. Yaani unavyoshangaa wewe na wenzio wanakushangaa hivyo hivyo labda hata kukuzidi.
Mmbunge wetu ndio anawasilisha vipaumbele vyetu vya maeneo.
Taja mmbunge mmoja katika uchangiaji waje ahusiani na miundombinu. Nikurahisishie kazi tu hakuna wote katika maswali waliyopoleka (sizungumzii miswada waliochangia) ni maswala ya umeme, maji, barabara, ardhi na afya.
Unabisha chagua mmbunge wa CDM ambae unadhani alikuwa tofauti na madai ya miundombinu; ushahidi upo.
Sasa utasemaje apendwi wakati anafanya wananchi wanachotaka na ziada. Sema wewe ndio usiempenda sio watu awampendi.