Uchaguzi 2020 Masimango ya kudharau miundombinu yetu, maendeleo yetu, hospitali yetu adhabu yake ni kukunyima kura upate 0%

Democratically atuwezi wote kukaa pamoja jimbo zima tuchague tunataka nini.

Mmbunge wetu ndio anawasilisha vipaumbele vyetu vya maeneo.

Taja mmbunge mmoja katika uchangiaji waje ahusiani na miundombinu. Nikurahisishie kazi tu hakuna wote katika maswali waliyopoleka (sizungumzii miswada waliochangia) ni maswala ya umeme, maji, barabara, ardhi na afya.

Unabisha chagua mmbunge wa CDM ambae unadhani alikuwa tofauti na madai ya miundombinu; ushahidi upo.

Sasa utasemaje apendwi wakati anafanya wananchi wanachotaka na ziada. Sema wewe ndio usiempenda sio watu awampendi.
 

Kwenye bandiko langu pana question marks 2.

Unaweza kuangalia na kujiridhisha kama umejibu au ku address hata moja?

Mjadala makini huenda hatua kwa hatua. Hivyo ndivyo haba na haba kibaba hujaa.
 
Punguza jazba na kutokuwaza vyema
Live Long TL
 
Kwenye bandiko langu pana question marks 2.

Unaweza kuangalia na kujiridhisha kama umejibu au ku address hata moja?

Mjadala makini huenda hatua kwa hatua. Hivyo ndivyo haba na haba kibaba hujaa.
Basi itakuwa hoja zako na ulicho quote kwangu aziendani maana mie nili comment kutokana na mwongozo wa mleta mada miundombinu.

Apparently ata michango ya Mbowe kuhusiana na Hai ni lami, mabweni na afya. Na ndio msingi wa mada utamaduni wa CDM kudharau miundombinu sio mzuri.

Kama kulikuwa na mingine kwako sikuyajibu niwie radhi ngonja nipitie vizuri maandishi yako mkuu.
 
Akikutajia hao wabunge Nitag
 
Akikutajia hao wabunge Nitag
Atamtolea wapi wakati kila mtu michango yake ipo on record na wote ni ardhi, afya, umeme, barabara na maswala mengine ya miundombinu; ndio asilimia kubwa ya mambo waliyoulizia kama madai ya mahitaji ya wananchi wao.
 
Hujaeleweka vizuri rudi kajipange! Ukimsikiliza Lissu ukauondoa ushabiki wa Pale Lumumba.Mbona utamuelewa tu.
 

Asante kutambua kuwa waungwana tunaweza kujadili kiungwana. Hoja kwa hoja.

Hakuna asiyetambua wala kuthamini uwepo wa miundombinu ya maana.

Binafsi nimeandika sana pia kuhusu miundo mbinu. Mifano kidogo ni hii hapa, tokea years back nyuma na hata leo:

Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea

Hali ya mbaya mno ya barabara Nyakanazi Rusumo vipaumbele vyetu ni nini?
 
Kwa ivyo Lissu na Zitto tuwachukuliaje wao wanaetembea wakiponda vitu ambavyo watanzania wanaomba; badala ya kujinadi watawafanyia nini.

Binafsi naona kama vile hawana cha kuwafanyia watanzania kilichobaki ni kubeza tu kilichofanyika.
 
CCM ilituambia Gesi ikianza kutumika Umeme utashuka bei zaidi, kiasi cha Familia Masikini kuweza kumudu kutumia Umeme kupikia....

Viongozi wako wa CCM walishawahi kukwambia kwa nini ilishindikana?
 
Akikutajia hao wabunge Nitag

Kuelewa kazi kubwa na hasa kama ushabiki umetangulizwa mbele.

Tangu lini simba na yanga wakaelewana?

Waungwana hatuko hivyo. Sisi ni hoja kwa hoja. Wewe ukiwa siyo wa hoja, unakuwa haumo kwenye kundi hilo.

Makundi yapo mengi. Wengine siyo mashabiki. Washabiki na waungwana ni tofauti kabisa, kama yalivyo maji na mafuta. Katu hawachangamani.

Pole lakini kwa ukweli huo.
 
REA si huruma ya Magufuli, REA ninaifadhili mimi na wewe watumiaji wa umeme, bila sisi kuchangia hakuna REA, tatizo hapa ni wanaccm kuwadanganya wanavijiji kuwa Magufuli anatoa hela za REA. Maneno yote yanayotokea ni kutokana na CCM kutokutaka kusema ukweli kwa wananchi.
 
Sema utamuadhibu wewe maana Mimi Sina akili za kushikiwa najua Kuna mazr yamefanyulika na Mbaya mengi yamefanyika kwa mtazamo wangu Magufuli amechoka anahitaji kuoumzika
Meko 2020-2025!!
 

Kumbuka hiyo ni kodi yako
 

Hizo ndio siasa Sasa
 
Wataelewa tuu
 
Kura yangu safari hii inaenda kwa Lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…