Uchaguzi 2020 Masimango ya kudharau miundombinu yetu, maendeleo yetu, hospitali yetu adhabu yake ni kukunyima kura upate 0%

" Octoba2020 tutampa Magufuli ushindi wa 100% ".

Ni vyema ungezungumzia wewe nafsi yako tu.
 
Kweli elimu yetu imeshuka sana. Vijana wetu hawawezi kuandika hoja ili watu wajadili. Wanaleta mipasho.

Sasa kama huyu, huwezi kuelewa ni mhitimu wa elimu ya msingi au kidato cha nne au aliishia chini ya kidato cha 4. Anavyoongea haina tofauti na wale wambea wa mitahani ambao hawahitaji elimu yoyote ya darasani ili kuwa wambea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods nyuzi kama hizi futeni zinatujazia saver tuu
 
Kwa nini huwa unachangia nyuzi za wapuuzi kama hawa? Hii mijinga ya Lumumba inatakiwa hakuna hata kufungua nyuzi zao.
Mtu hataishi kwa mkate tu! Kwa hiyo wewe ukimnyima kura ndo unaamini atapata 0%?!! Hii ina maana basi kuwa Hugo mgombea wenu atapata 0% kwa kuwa mimi sitampigia!
 
Lisu kwenye uchaguzi huu hapati kitu
 
18 Agosti 2020
Iringa, Tanzania

"RAIS MAGUFULI ASITUSIMANGE KWA KUNUNUA NDEGE NA KUJENGA BARABARA" - TUNDU LISSU

Chato ni kijiji , miji ya Katoro, Kahama ni mikubwa kuliko Chato, lakini chini ya miaka 3 kumejengwa uwanja wa ndege wa kimataifa Chato kwa manufaa binafsi ya Rais. Julius Nyerere hafufanya hivyo, Mwinyi hakufanya hivyo, Mkapa na Kikwete pia hawakufanya hivyo...

ukatili na udhalimu katika miaka 5 wengi waliuawa, viongozi wa kisiasa wakiuawa, waandishi wanapelekwa kituoni hawarudi, msanii Roma Mkatoliki .. Bunge limezimwa spika anapokea maagizo toka Ikulu...


Haya ni mambo Mpya katika miaka mitano.
Source : CHADEMA MEDIA TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…