Masister duu na wanawake wa maofisini mnatembea na vinyesi

Hivi wanaokwenda maliwatoni ni wanawake tu???. Hii ingekuwa pande zote ME NA KE.
Kama ni uchafu kama ulivyosema basi hata ME anahusika.
 
Bora hao kuliko wale wanaotumia mawe kupangusia dushe zao na tunakuta kwenye masink ya kukojolea.
 
Sio wanawake tu hata baadhi ya wanaume kuna yule bwana Nyani Ngabu aliwahi kuandika kuwa maisha yake yote huwa anatumia toilet papers tu yani hawezi kutumia maji kabisa anasema yanampa kinyaa sijui yanamtekenya bla bla nyingi.

Nilistuka sana ila baadaye nikagundua kuwa jamaa ni msukuma nikamuelewa tu.
 
Io ni kwel kabsa mmoja best yangu kabisa huwa haniogopi, akienda kukata gogo ananionesha toilet pepa akinitania nimcndikize
 
Unashauri nin kifanyike?
MAANA kutembea na kinyesi nayo ni soo.
 
Ha ha ha haaaa, wadau wamemjibu vizuri kweli.
Wewe ishi maisha yako, zile wipes sio za chooni tu hata mikononi na usoni pia, halafu unaonekana huna kazi ya kufanya.
Yaani umekaa mpaka unachunguza muda watu wanaenda kukata magogo?
Eboooo. Kasome kule.
Jiwe la gizani
 
Nadhani ni malezi mabovu..😀
 
best yangu alinambia akichambia maji ndo anafutia tishu ili asilowane chupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…