sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,280
- 7,930
Tumia vyote kwa afya nzur dada, na kwa kutoa kero kwa mweziwako umesikia eehSio upuuzi bana! Mimi nikiwa nazo natumia... Zisipokuwepo maji yananihusu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia vyote kwa afya nzur dada, na kwa kutoa kero kwa mweziwako umesikia eehSio upuuzi bana! Mimi nikiwa nazo natumia... Zisipokuwepo maji yananihusu!
Wee unaejielwa ndo unatembea na mavi mchana kutwa c ndiyo?
Me cwez kutumia tissue aisee ntakuwaje mchafu hivyoKaka wewe unatumia tissue, na yeye anatumia tissue ya aina tofauti, shida yako ni nini?
Me cwez kutumia tissue aisee ntakuwaje mchafu hivyo
Si bora hata tunduMkuu mbona wewe unatembea na tundu la choo lakn hawakusemi!
Unashauri nin kifanyike?Yaani siku izi wadada wengi haswa warembo na wa maofisini wanamchezo wa kutembea na tishu na vijitambaa flani mfano wa tishu vinakuwa na unyevu unyevu hivi sasa kumbe hizi tissue na vijitambaa ndo wakienda msalani kukata magogo au haja ndogo wanajipangusa wanaondoka eti kisa hawataki mimaji maji mimaji yaani huu ni uchafu wa kiwango cha kimataifa ivi kwa nn mwanamke utumie tissue? Ndo maana nyuzi za maradhi yenu sehemu za siri haziishi mnatembea na uchafu haswa madada wa maofisini, wadada wa chuo na ma sister duu tishu mnajipaka vinyesi
Jiwe la gizaniHa ha ha haaaa, wadau wamemjibu vizuri kweli.
Wewe ishi maisha yako, zile wipes sio za chooni tu hata mikononi na usoni pia, halafu unaonekana huna kazi ya kufanya.
Yaani umekaa mpaka unachunguza muda watu wanaenda kukata magogo?
Eboooo. Kasome kule.
Nadhani ni malezi mabovu..😀Sio wanawake tu hata baadhi ya wanaume kuna yule bwana Nyani Ngabu aliwahi kuandika kuwa maisha yake yote huwa anatumia toilet papers tu yani hawezi kutumia maji kabisa anasema yanampa kinyaa sijui yanamtekenya bla bla nyingi.
Nilistuka sana ila baadaye nikagundua kuwa jamaa ni msukuma nikamuelewa tu.
best yangu alinambia akichambia maji ndo anafutia tishu ili asilowane chupiUnadhani sisi tuna kazi my dear. Wale wanaokerwa na mambo yasiyo yao ndio wana kazi. Hahahaaa.
Sababu nina uhakika kwa asilimia 80 hajui hata wanawake wanatumia tishu wakati gani.
Hebu atupishe sie. Ila namshauri aende huko akarudie kuchungulia wanawake wanatumiaje tishu sababu hapo hajaona kitu. Hahahaaaa.
Huo ndio ukweli sasa. Ila ukisikiliza hizi blah blah unaweza waza tofauti kabisa.best yangu alinambia akichambia maji ndo anafutia tishu ili asilowane chupi