Mmmmh
Promo ya so called dr fadhili tu hii... wamlipe mzee wa watu
Na kwa haya wanaume wanaotelekeza watoto kwa kigezo cha "atanitafuta" akikua mjifunze........
Kwahiyo aliita waandishi wa habari wakati anaenda zahanati....? Muache avune alichopanda, diamond hasingekua star leo hii huyo mzee angemkubali ?
Muache asote tu
Nilishawahi kumuona live bado ana nguvu hajafikia umri wa kukaa chini Na kutunzwa ni ugonjwa tu kwasababu hata tembea yake ya tabu,mi ningemshauri D amtibie afanye Kama anatoa msaada kwa Mtanzania yeyote mwenye shida pengine ampeleke hata nje ya nchi pengine akipona akipata nguvu ya kujitafutia ataacha kulialia.Mondi alishatamka kuwa alimsamehe baba yake siku nyingi, na hata pesa anampaga, juzi kwenye Father's day pia hakumsahau baba yake.
Ila huyo mzee inaelekea anataka apewe care 100% kama anayopata Mama Mondi kitu ambacho ni impossible. Aliteseka na mama yake wacha ajinome na mama yake.
Jane, baba yake alimtelekeza na mam a yake akawa na vimada. Nilimsikia Diamond akihojiwa. Akakiri kuwa kila mmoja aende zake maana alishawatupa. Akasema anampenda mama yake maana walihangaika wote mpaka akafikia hapa alipo. Sijui, nami ningelifanya hivyo hakika, potelea mbaliDiamond anakosea sana. Yaani anahangaika na Zari halafu anamuacha babake anateseka
Diamond anakosea sana. Yaani anahangaika na Zari halafu anamuacha babake anateseka
Dr Fadhili Haule anafanya biashara tuu..Diamond anakosea sana. Yaani anahangaika na Zari halafu anamuacha babake anateseka
Kwa yeyote mdadisi, ni rahisi kugundua kwamba huyo baba wa diamond aliandaliwa kwamba achukuliwe picha huku akionekana kusaidiwa na wahudumu wa hapo hospital, ili kijana apakaziwe na magazeti ya udaku.
Alafu... iweje mzee aende kwenye matibabu huku akiwa amejiandaa na wapiga picha?
Alafu.... kama mzee alikwenda kupata matibabu, kwanini aliwaita makanjanja wa magazeti ya udaku ili wakipake kwa mwanae?
Agghhhh....[emoji51] [emoji51] [emoji51]
Huo ni mchongo wa Dr Fadhili kupata wateja we huoni alivyo tengeneza scene vizuri?Hivi huyo anaumwa kweli au anatafuta kiki tu?
Teh Teh Dr Fadhili Haule ametengeneza scene zake vizuri sana yani hadi nimecheka...! Hivi huyu Baba alimzaa Diamond pekee? Na wengine wote aliwatelekeza kama Diamond?Mmmmh
Promo ya so called dr fadhili tu hii... wamlipe mzee wa watu
Na kwa haya wanaume wanaotelekeza watoto kwa kigezo cha "atanitafuta" akikua mjifunze........
asanteusiangalie matokeo angalia na sababu ya matokeo pia...hawa wazee waliokula ujana enzi zao na kuwaacha watoto wao wakiteseka na mama zao huwaga siwaonei huruma kabisa.
Mimi pia yamenikuta kama hayo..naumwa nimelazwa Amana hospital na bi.mkubwa alikila pembeni uangu hana kitu baba yangu mzazi anashindana kuwatunza hela wakina Tx Moshi na Maalim Gurumo pale Amana Vijana center