Maskini Baba Diamond, azidiwa ghafla

Una uhakika hajamsamehe na hamtunzi au kwa sababu ya scene ya kuugua?
 
Teh Teh huwa nikiona comments zako napata picha jinsi nyumbani kwako kulivyo jaa matunguri.
 
Kwa hiyo baada ya kuona hii scene ya Fadhaget ndio umebaini kuwa Diamond kalipiza?
 
Huyu mzee mtu (Diamond )hata kama angeamua kusahau ya zamani; anaweza kuendelea kukaza kwa tabia yake ya kupenda kutumika! Yaani anakuwa tayari kulipwa Sh.50,000 ili kutengeneza headlines za Shigongo mbele ya wapuuzi!

Now let's take it kwamba Diamond hamjali; mbona hatusikii lolote kuhusu Queen Darleen wakati nae ni mwanae?! Ina maana hana ndugu hadi kila cku awe "anaokotwa" na majirani?! Na mtu mwenye akili timamu atafahamu kabisa kwamba Diamond anamfanyia makusudi kutokana na hii tabia yake ya kupenda kutumika!!
 
Yani nilipo fungua tangazo hili nilicheka sana yani huyu Fadhili Haule ni bure kabisa ameshindwa kumtumia Diamond anamtumia Baba yake kufanya matangazo...
 
Basi na wewe zaa wako umtelekeze ili baadae aje kuwa star mkubwa!
 
malipo ni hapa hapa mbinguni ni bata tu
 
Diamond should learn to forgive and forget,ugomvi wa baba na mama hasiuendekeze maana kata ya hao wawili hakuna hata mmoja atakayemueleza Diamond ukweli wa kiaiini cha ugomvi wao,kila mmoja anamlaumu mwenzie ilihali kila mtu ana siri yake moyoni
Una uhakika hajamsamehe? Au kwa sababu ya scene hii ya Fadhaget?
 
Hehehe ni yule jamaa wa mitishamba?? Kwanini ni wao tu wanapenda promo?
Teh Teh wanapenda kiki sana lakini jamaa ka andaa scene zake vizuri...Dr Fadhili Haule..
 
Huyu mzee anatakiwa achukulie kuwa yule mtoto aliyemkataa(kama anavyodai diamond) alifariki muda..hapo ndio atakuwa na amani na atajiuguza vyema!!

Historia zinatuonesha kuwa hawa watoto wanaokosa malezi ya baba zao wanakuwaga na NYOTA kali Sana..
 
Baba ni BABA TU. Kwangu na kwako, kuzaliwa na Baba na Mama ni mpango wa Mungu. Waheshimuni Baba na Mama zenu ili mpate siku nyingi za kuishi.
 
Ijumaa kweli fundi hapa wanatafuta namna ya kumtangaza hyu Dr hamna chochote Dr mwenyewe ana mkataba na Risasi kuandika makala afu hyo hyo Dr ndo anahusika na matibabu ya mzee Abdul
Hapa hamna mgonjwa na kiki tu wanatafuta kumtangaza Dr Shame on you
Upuuzi mtupu hawa watu
 
Naona watu wanazizungumzia shahawa as if kila shahawa na donor wake wana-deserve same respect! Ingekuwa shahawa zote na donors wake vinastahili hadhi pasingetokea watu wa kuzimwagia kwenye kondomu huku wengine wakizimwaga chooni kwa punyeto! Na watu hayawani wanafikia hata hatua ya kuzimwaga kwenye matundu ya haja kubwa ya makahaba na wanaume wenzao. Shahawa yenye thamani inatoka kwa gentleman... kwanza hazimwagi hovyo hovyo! Na hata ikitokea amezimwaga kwa asiye mke wake na akatungisha mimba; ata-take full responsibility from day one! Ya nini kuzivika ufahari shahawa za mtu aliye tayari kulipwa Sh.50,000 na magazeti ya udaku ili yamchafue "mwanae"! Kama issue ni shida; kwanini haombagi msaada kwa Queen Darleen? Huyu Mzee ni wa hapa hapa mjini... ina maana hana ndugu hadi kila cku awe "anaokotwa" na majirani tena mbele ya kamera za Shigongo?! Mbona kuna wakati huwa anasaidiwa na huyo huyo Diamond lakini hayaiti magazeti ya Shigongo?!

Huyu si kwamba Diamond hamsaidii kabisa lakini tatizo la alitaka apate privilege kama anazopata Bi. Sandrah na kv hazipati; ndo vile tena akipewa chake na Shigongo anadaka na kutokea front page! Ni juzi tu hapa Diamond kam-wish kwenye Happy Father's Day...


Ni nini hiyo kama c kumtambua? Lakini baba mwenyewe ndo hivyo tena; leo unaionesha dunia kutambua umuhimu wake kwako, kesho anapewa Sh.50,000 anatokea Front Page ili iambie dunia jinsi ulivyo roho mbaya!
 
hizi promo za zahanati zao wanaziita habari kweli? Baba anafika mapokezi picha, kuvuliwa viatu picha. Kwa hiyo waandishi walipewa taarifa ama mgonjwa alipigwa picha nadaktari kisha kuwatumia waandishi? SHIGONGO hana waandishi kwa kweli ama inawezekana MOND analijua hili na anaucheza huu mchezo.
 

Ni mtu mpumbavu tu anayeweza kukuelewa.
Bibilia inatuasa kushukuru kwa kila jambo na kutolipa kisasi.

Diamond akumbuke Mpaji ni Mungu, inawezekana sana kuwa kama sio kutoswa na huyo baba, asingekuwa hapo alipo Leo hii.

After all, kama atafanya ujinga kama wa baba yake, atakuwa amefanya kipi cha maana?

TWO WRONGS CAN NOT MAKE RIGHT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…