Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Kuna Madem Nchi fulani Siitaji Jina hapa hapa Africa Yani Mpaka Unawashangaa Ukiomba Namba tuu Na Ukataka Mkutane Sehem ujue Ndio anaanza na Hiyo Inshu Yani Kwao ndio kama Sifa Yani ni ushamba Balaa Unabaki kuwatazama tuu
Hapo ni Tanzania 🇹🇿 Mkuu
 
Kama mtoto wa kike ana wazazi wake wote wawili na anafanya kazi ambayo analipwa mshahara. Je kuhitaji pesa nyingine kwa multiple men ni ubinafsi, uchoyo au ni kitu gani!? 🤔
 
Kama mtoto wa kike ana wazazi wake wote wawili na anafanya kazi ambayo analipwa mshahara. Je kuhitaji pesa nyingine kwa multiple men ni ubinafsi, uchoyo au ni kitu gani!? 🤔
Kuna baadhi ya wadada ilibidi tu niwakimbie maana si kwa vizinga vile, cha ajabu Wana kazi, na kwa tabia hizo wanategemea waolewe Hannah Kelsea To yeye Damaso
 
Ila nliwaelewa, nilijisemea labda muonekano wangu hauwavutii, mm nilijiengua chap kabla ya wao kuniengua. Kama wana akili watajua kwanini sahivi nimepunguza ukaribu nao Damaso
Hapo sawa Mkuu maana kuna kuchapika pia
 
Kuna Madem Nchi fulani Siitaji Jina hapa hapa Africa Yani Mpaka Unawashangaa Ukiomba Namba tuu Na Ukataka Mkutane Sehem ujue Ndio anaanza na Hiyo Inshu Yani Kwao ndio kama Sifa Yani ni ushamba Balaa Unabaki kuwatazama tuu
Kwao ni biashara isiyo na leseni
 
Back
Top Bottom