Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Kwani anaye anza kumwitaji mwenzie nani? Yaani mtu anakwambia njoo Kisha nijigharamikie? Kwanini usikae nani zako Kama unaona gharama? Wanaume watakucheka siku nyingine usiongee hivyo! Waoongea hivyo ni watoto wakiume
Biashara. Ja ukilipiwa basi ukiliwa usilete kukataa maana umejiweka hivo. Yaani hata sehemu ya nauli 1000 au 10000 na ukute una kazi njema tu. Why kama umeelewa somo mwambie aje mpaka ulipo ili msipo elewana hujala chake.
 
Siku ya kwanza unamuomba mtoke chakula cha jioni ili kufahamiana (dinner date), anakuomba nauli na hela ya kusuka, mara hana viatu, nusu saa kabla amekuomba umnunulie salio. Achana na hayo matatizo ndugu unakaribisha umaskini. Maskini huwa hawana aibu rafiki yangu, muache atafute kwanza shughuli ya kufanya ndiyo aingie kwenye mahusiano. Atafute kazi ya kuingiza kipato kwanza.
View attachment 3176796

Maskini wengi hawajui kupenda, hisia zao zinaongozwa na njaa, tena njaa kali sana, njaa yake ikiisha ndiyo anagundua kuwa hajawahi kukupenda hata kidogo. Achana na matatizo hayo. Kimbia janga hilo. Tafuta mtu mwenye akili timamu, na sio mtoto ambaye anatembea kwa kunusa pesa za watu bila jitihada.
Ndo ile nimetokea kukupenda nae anasema ametokea kukuomba 100k
 
Back in my days, wkt huo mgeni mgen na mabinti, akanipangia birthday yake, nimnunulie nini na twende wapi, akandaa mkeka wa gharama akanitumia. Kodi, nimfungulie biashara huku aki demand niende kwao
Aisee just imagine mtu hakufahamu, mnakutana mara chache but demand kama zote
duh halaf ikawaje?
 
S
Siku ya kwanza unamuomba mtoke chakula cha jioni ili kufahamiana (dinner date), anakuomba nauli na hela ya kusuka, mara hana viatu, nusu saa kabla amekuomba umnunulie salio. Achana na hayo matatizo ndugu unakaribisha umaskini. Maskini huwa hawana aibu rafiki yangu, muache atafute kwanza shughuli ya kufanya ndiyo aingie kwenye mahusiano. Atafute kazi ya kuingiza kipato kwanza.
View attachment 3176796

Maskini wengi hawajui kupenda, hisia zao zinaongozwa na njaa, tena njaa kali sana, njaa yake ikiisha ndiyo anagundua kuwa hajawahi kukupenda hata kidogo. Achana na matatizo hayo. Kimbia janga hilo. Tafuta mtu mwenye akili timamu, na sio mtoto ambaye anatembea kwa kunusa pesa za watu bila jitihada uko Sahihi
 
🙌😂 kumbe wewe ni maskini na ujinga unao??
et single mother 😂
So kwako unaona tusi mwenyewe
Mimi ningelikua singlemom ningelikua very proud kama mama yako tu
Kijana acha makasiriko tafuta pesa
Mtu hana pesa kazi kujitutumua tu kusikokiwa na maana
Dah nawale anafika utasikia nahisi njaa mara hatuli mara kuku akiwa mwingi hakuna foil hapa du jaman

Hao huwa inategemea mnako watoa, sasa kama mtu umekula nyumbani ukashiba unakulaje tena, mwanamke na mwanaume wanao kutana wakiwa wanajielewa hawanaga hayo mambo, sasa umekutana na mtu anajiuza kwanini asihitaji hayo yote?
 
Biashara. Ja ukilipiwa basi ukiliwa usilete kukataa maana umejiweka hivo. Yaani hata sehemu ya nauli 1000 au 10000 na ukute una kazi njema tu. Why kama umeelewa somo mwambie aje mpaka ulipo ili msipo elewana hujala chake.
Wanawake pia wana akili timamu, akiitwa na mtoto wa kiume lazima agharimikie , lakini akiitwa na mwanaume mbona hakunaga shida unajua hata asipotuma nauli atafanya ya maana ya zaidi ya nauli
 
Siku ya kwanza unamuomba mtoke chakula cha jioni ili kufahamiana (dinner date), anakuomba nauli na hela ya kusuka, mara hana viatu, nusu saa kabla amekuomba umnunulie salio. Achana na hayo matatizo ndugu unakaribisha umaskini. Maskini huwa hawana aibu rafiki yangu, muache atafute kwanza shughuli ya kufanya ndiyo aingie kwenye mahusiano. Atafute kazi ya kuingiza kipato kwanza.
View attachment 3176796

Maskini wengi hawajui kupenda, hisia zao zinaongozwa na njaa, tena njaa kali sana, njaa yake ikiisha ndiyo anagundua kuwa hajawahi kukupenda hata kidogo. Achana na matatizo hayo. Kimbia janga hilo. Tafuta mtu mwenye akili timamu, na sio mtoto ambaye anatembea kwa kunusa pesa za watu bila jitihada.
cc: Madada wote wa mjini, Bongo fleva, Bongo movie, na machangu dizaini ya Diva The bowse lady asiye na pesa, Kajala, Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na wengineo wapuuzi.
 
Kuna Madem Nchi fulani Siitaji Jina hapa hapa Africa Yani Mpaka Unawashangaa Ukiomba Namba tuu Na Ukataka Mkutane Sehem ujue Ndio anaanza na Hiyo Inshu Yani Kwao ndio kama Sifa Yani ni ushamba Balaa Unabaki kuwatazama tuu
 
Back
Top Bottom