Mkuu kuwa serious basi miaka ya 2000 na Youtube wapi na wapi?!Kwahiyo ubora wa wimbo unaupima kwa views za Youtube???
Zile hitsong za Kina Jaymoe, Mb dog na akina Nature za miaka ya 2000 zilikuwa na views ngapi youtube?
Mbona Naogopa ngoma kali tu?
Nani kakudanganya Mavoko eti ana nidhamu? Kamuulize kaka yake Tin whiteNajiskia vibaya sana...tumsapoti Mavoko. Ana nidhamu sana huyu jamaa
anatia aibu sana huyo bwa mdogoMkuu kuwa serious basi miaka ya 2000 na Youtube wapi na wapi?!
Wewe ndo kichwa kizito...nimekuuliza youtube ndo kipimo cha wimbo mzuri..ambazo hazikuwekwa kabisa youtube ulizipimaje?We jamaa na wewe kichwa kizito sana,miaka hiyo ya 2000 niambie nani alikuwa ana akaunti youtube? nani alikua anaweza kuachia ngoma via youtube only?
Najuta kupoteza muda wangu kukujibu.
Umoja ni nguvu, utengano ni uzaifu. Umimi haukufikishi popote. Jamaa alikua kwenye Familia ambayo muziki ni biashara, unaimba vizuri au vibaya hilo juu yako, ila kama wateja wanashangilia unachokiimba kibiashara you are safe. Uzuri wake ungeuendeleza hukohuko WCB na mambo yangekaa poa. Ila Ubinafsi wetu ndo unatufanya tuwe na nchi masikini kila mtu anaangalia tumbo lake tuWabongo wengi wanaishi kwa shemeji zao,yaani kula kulala ndio mana MTU akiamua kujitegemea huanza kumsema na kumsimanga kama wafanyavyo walelewaji ndani ya huu Uzi, mimi binafsi napenda sana vijana wanaojisimamia kuliko wanaosimiwa na kuelekezwa namna ya kuishi,
UTUMWA bado umetawala ndani ya nchi hii
kujisimamia sio kubaya but bila direction na mikakati ni kujiingiza gizaniWabongo wengi wanaishi kwa shemeji zao,yaani kula kulala ndio mana MTU akiamua kujitegemea huanza kumsema na kumsimanga kama wafanyavyo walelewaji ndani ya huu Uzi, mimi binafsi napenda sana vijana wanaojisimamia kuliko wanaosimiwa na kuelekezwa namna ya kuishi,
UTUMWA bado umetawala ndani ya nchi hii
I know mavoko anatoka familia ya kimaskini na anategemewa na watu wengi..mziki kwake ni kazi sio show off zakuzungumziwa mtandaoni na kupata kiki mjini aisee..ukikaa nafasi yake utaelewa zaidi kuliko watu wanavyoongea kishabiki..ebu imagine tu ni we we ndo upo kwenye kampuni kubwa inajina huna unachokipata then watu wanakusfia mtaani tu na umri unasonga.mavoko sio rayvany wala hamornize kwa muda aloanza mziki ulikua ni muda sahihi huu wakujitathmini kama anachopata kinalingana na kazi yakeNahisi suala la kuondoka WCB ni kama alitumia hiisia zaidi ila sio akili.
Ni vema kusimama peke yake lakini ilikuwa ni muhimu kujua na kutafakari kama ataweza peke yake. Mziki wa sasa ukiwa peke yako bila support yenye nguvu lazima umtafute mchawi.
Hakuna migogoro isiyokuwa na suluhu za mazungumzo,angezungumza na wenzake wawekane sawa, kama ni mikataba irekebishwe.
Apambane sasa maana mashabiki walimpa kichwa kuwa pale anapotea,aoneshe kuwa WCB KApoteza muda wake.
Mashabiki zake pia msimuache sasa kipindi hiki.
Kama ataweza kupata hata kidogo kuliko alivyokuwa akipata akiwa WCB sawa. Wenzake naona walikuwa wanatoa nyimbo na kushirikishwa lakini yeye sikuona juhudi hizo ni kama alilala pale.I know mavoko anatoka familia ya kimaskini na anategemewa na watu wengi..mziki kwake ni kazi sio show off zakuzungumziwa mtandaoni na kupata kiki mjini aisee..ukikaa nafasi yake utaelewa zaidi kuliko watu wanavyoongea kishabiki..ebu imagine tu ni we we ndo upo kwenye kampuni kubwa inajina huna unachokipata then watu wanakusfia mtaani tu na umri unasonga.mavoko sio rayvany wala hamornize kwa muda aloanza mziki ulikua ni muda sahihi huu wakujitathmini kama anachopata kinalingana na kazi yake
Na huu ndio ukweliNahisi suala la kuondoka WCB ni kama alitumia hisia zaidi ila sio akili.
Ni vema kusimama peke yake lakini ilikuwa ni muhimu kujua na kutafakari kama ataweza peke yake. Mziki wa sasa ukiwa peke yako bila support yenye nguvu lazima umtafute mchawi.
Hakuna migogoro isiyokuwa na suluhu za mazungumzo,angezungumza na wenzake wawekane sawa, kama ni mikataba irekebishwe.
Apambane sasa maana mashabiki walimpa kichwa kuwa pale anapotea,aoneshe kuwa WCB KApoteza muda wake.
Mashabiki zake pia msimuache sasa kipindi hiki.
Madini matupu mkuu ila naona kuna watu wanakua na kihelehele kukomenti bila kujua logic ya post yakoMavoko ana kipaji sana tatizo wasanii wetu wengi wenye vipaji wanakosa management nzuri
Jitahidi kwenda na wakati basiWewe ndo kichwa kizito...nimekuuliza youtube ndo kipimo cha wimbo mzuri..ambazo hazikuwekwa kabisa youtube ulizipimaje?
Ni bora kuliko kumtumikia mtu mnyonyajikujisimamia sio kubaya but bila direction na mikakati ni kujiingiza gizani