Maskini Rich Mavoko....

Maskini Rich Mavoko....

Anachotakiwa kutoa diss song kwa wakuda wote....atahit
 
Rich alitakiwa aimbe nyimbo km ile huendi mbinguni...lile song nalikubali sana mtu aliyetengeneza hata video yupo vzr

Huendi Mbinguni
 
We jamaa na wewe kichwa kizito sana,miaka hiyo ya 2000 niambie nani alikuwa ana akaunti youtube? nani alikua anaweza kuachia ngoma via youtube only?
Najuta kupoteza muda wangu kukujibu.
Wewe ndo kichwa kizito...nimekuuliza youtube ndo kipimo cha wimbo mzuri..ambazo hazikuwekwa kabisa youtube ulizipimaje?
 
Mavoko huwa hajui biashara tu.

Na ndio hicho alichokuwa anakipata huko alipotoka.

Ajipange. Mziki sasa hivi ni biashara. Kama hutaki, utaanguka tu hata ukiwa unaimba kama whitney huston.
 
Wabongo wengi wanaishi kwa shemeji zao,yaani kula kulala ndio mana MTU akiamua kujitegemea huanza kumsema na kumsimanga kama wafanyavyo walelewaji ndani ya huu Uzi, mimi binafsi napenda sana vijana wanaojisimamia kuliko wanaosimiwa na kuelekezwa namna ya kuishi,
UTUMWA bado umetawala ndani ya nchi hii
 
Umoja ni nguvu, utengano ni uzaifu. Umimi haukufikishi popote. Jamaa alikua kwenye Familia ambayo muziki ni biashara, unaimba vizuri au vibaya hilo juu yako, ila kama wateja wanashangilia unachokiimba kibiashara you are safe. Uzuri wake ungeuendeleza hukohuko WCB na mambo yangekaa poa. Ila Ubinafsi wetu ndo unatufanya tuwe na nchi masikini kila mtu anaangalia tumbo lake tu
 
Wabongo wengi wanaishi kwa shemeji zao,yaani kula kulala ndio mana MTU akiamua kujitegemea huanza kumsema na kumsimanga kama wafanyavyo walelewaji ndani ya huu Uzi, mimi binafsi napenda sana vijana wanaojisimamia kuliko wanaosimiwa na kuelekezwa namna ya kuishi,
UTUMWA bado umetawala ndani ya nchi hii
kujisimamia sio kubaya but bila direction na mikakati ni kujiingiza gizani
 
Yaani views ndiyo wametumika kwenye tathmini yako?
 
[QUOTE="Chinga One, [/QUOTE]

kwasababu umesema hivyongoja na mimi,wife na watoto wangu 3 tukamuongezee idadi ya viewer
 
Nahisi suala la kuondoka WCB ni kama alitumia hiisia zaidi ila sio akili.

Ni vema kusimama peke yake lakini ilikuwa ni muhimu kujua na kutafakari kama ataweza peke yake. Mziki wa sasa ukiwa peke yako bila support yenye nguvu lazima umtafute mchawi.

Hakuna migogoro isiyokuwa na suluhu za mazungumzo,angezungumza na wenzake wawekane sawa, kama ni mikataba irekebishwe.

Apambane sasa maana mashabiki walimpa kichwa kuwa pale anapotea,aoneshe kuwa WCB KApoteza muda wake.

Mashabiki zake pia msimuache sasa kipindi hiki.
I know mavoko anatoka familia ya kimaskini na anategemewa na watu wengi..mziki kwake ni kazi sio show off zakuzungumziwa mtandaoni na kupata kiki mjini aisee..ukikaa nafasi yake utaelewa zaidi kuliko watu wanavyoongea kishabiki..ebu imagine tu ni we we ndo upo kwenye kampuni kubwa inajina huna unachokipata then watu wanakusfia mtaani tu na umri unasonga.mavoko sio rayvany wala hamornize kwa muda aloanza mziki ulikua ni muda sahihi huu wakujitathmini kama anachopata kinalingana na kazi yake
 
Kama ataweza kupata hata kidogo kuliko alivyokuwa akipata akiwa WCB sawa. Wenzake naona walikuwa wanatoa nyimbo na kushirikishwa lakini yeye sikuona juhudi hizo ni kama alilala pale.

Nijuavyo kaZi ya label ni kukuandalia plan na kukusimamia pale unapokuwa na kazi zako tayari za kuziachia sokoni,na unakuwa na hisa ambazo hugawiwa faida pale label inapokuwa imepata. Hivyo kama ni sokon itategemea alikuwa na nn tayr ili label imsimamie lakini ukiangalia vizuri ni kama mavoko alikuwa mvivu hapa, wakati wenzake wanashirikishwa na kutoa nyimbo yeye ameachia nyimbo chache akiwa wcb.
 
Nahisi suala la kuondoka WCB ni kama alitumia hisia zaidi ila sio akili.

Ni vema kusimama peke yake lakini ilikuwa ni muhimu kujua na kutafakari kama ataweza peke yake. Mziki wa sasa ukiwa peke yako bila support yenye nguvu lazima umtafute mchawi.

Hakuna migogoro isiyokuwa na suluhu za mazungumzo,angezungumza na wenzake wawekane sawa, kama ni mikataba irekebishwe.

Apambane sasa maana mashabiki walimpa kichwa kuwa pale anapotea,aoneshe kuwa WCB KApoteza muda wake.

Mashabiki zake pia msimuache sasa kipindi hiki.
Na huu ndio ukweli
 
Back
Top Bottom