Maskini Rich Mavoko....

Maskini Rich Mavoko....

Siku hizi Mziki umekuwa WCB tuuu yanii...!! Jamaa wamelitekaa Sokoo hasaaaa...
 
Uku mtaa..kuanzia bajaji mpaka vibanda vya kukodisha CD ni WCB.. Na ngoma ya maua sama
 
Mavoko huwa hajui biashara tu.

Na ndio hicho alichokuwa anakipata huko alipotoka.

Ajipange. Mziki sasa hivi ni biashara. Kama hutaki, utaanguka tu hata ukiwa unaimba kama whitney huston.
Et anasema nayeye anafanya muziki biashara ndo maana alifanya maamuzi hayo.
 
Kama ataweza kupata hata kidogo kuliko alivyokuwa akipata akiwa WCB sawa. Wenzake naona walikuwa wanatoa nyimbo na kushirikishwa lakini yeye sikuona juhudi hizo ni kama alilala pale.

Nijuavyo kaZi ya label ni kukuandalia plan na kukusimamia pale unapokuwa na kazi zako tayari za kuziachia sokoni,na unakuwa na hisa ambazo hugawiwa faida pale label inapokuwa imepata. Hivyo kama ni sokon itategemea alikuwa na nn tayr ili label imsimamie lakini ukiangalia vizuri ni kama mavoko alikuwa mvivu hapa, wakati wenzake wanashirikishwa na kutoa nyimbo yeye ameachia nyimbo chache akiwa wcb.
Hii ni kweli kabisa!!!
 
Kitu Luis Fonsiiiiiii na vinyimbo viwili tu
Despacito views Bilion 5
Echame La Culpa Bilion 2
 
I know mavoko anatoka familia ya kimaskini na anategemewa na watu wengi..mziki kwake ni kazi sio show off zakuzungumziwa mtandaoni na kupata kiki mjini aisee..ukikaa nafasi yake utaelewa zaidi kuliko watu wanavyoongea kishabiki..ebu imagine tu ni we we ndo upo kwenye kampuni kubwa inajina huna unachokipata then watu wanakusfia mtaani tu na umri unasonga.mavoko sio rayvany wala hamornize kwa muda aloanza mziki ulikua ni muda sahihi huu wakujitathmini kama anachopata kinalingana na kazi yake
Nani anatoka familia ya kitajiri ??

Nani mziki kwake sikazi ??
 
Anapata viewa hizo kutoka na upya wa akaunti yake ya YouTube, Billionnaire Kid vinginevyo hakuna taofauti yoyote

Hao WCB kwasasa hakuna jipya, kwanza kampuni IMEYUMBAA redunduncy inaendelea ya kufa mtu.

- Mwarabu OUT
- Kifesi OUT
- Madansa HAWANA KAZI
- DIAMOND KARANGA - Haziuziki tena sokoni kama zamani
- PERFUME Ilikufa tangu siku ya kwanza.

WCB kama label imebaki na HARMONIZE, MWAJUMA, MBOSO na LAVALAVA.

Hata hiyo TV itabuma muda si mrefu, maana TV haiendeshwi kwa MADRAMA YA NGONO na KUNUNUA TU VIFAA.

Mwishowe watu watataka kuona CONTENTS ambayo huna uwezo wa kuitoa
 
Wiki hii wimbo mpya ni wa harmoraper tu huyu maviko sijui mavoko sijaona kitu wala kusikia
 
Kitu Luis Fonsiiiiiii na vinyimbo viwili tu
Despacito views Bilion 5
Echame La Culpa Bilion 2
That how they do in PUERTO RICO !!

Muziki Tanzania ulishakufa. Mimi siku hizi nasikiliza:
- Muziki wa Nigeria
- Muziki wa Marekani
- Cover songs + Mashups ( US/NIGERIA )
- USA up coming Artists kama "NEXT TOWN DOWN'

- Amma ni bora hata nimwangalie YouTuber Mghana WODE MAYA na mbwembwe zake CHINA.

- Au hata nifurahie JIMMY KIMMEL wa USA Baby ( Nyani Ngabu) na JOKES zake matata

- MADRAMA YA NGONO kwenye UPUUZI WA BONGO mnaouita MUZIKI ni kupotezeana MUDA TU.

Muziki ulikuwa zamani, kina MICHAEL JACK hata neno FVCK, au AS.S hakuwa akilitaja kwenye nyimbo zake, alikuwa na nyimbo zilizojaa UTU, UBINADAMU, UKOMBOZI na ni POP KING EVER
> THE DON'T CARE ABOUT US
> HEAL THE WORLD
> WE ARE THE WORLD
> YOU WILL BE THERE n.k

Say NO to MADRAMA YA NGOOOONOOOO

Bring BACK REAL MUSIC !!
 
Braza una stress sana,hicho unachoita madrama ya ngono ndo kinapendwa na kimetawala huku mtaani,Hiyo WCB unayosema imechoka ndo inatawala huku mtaani na hizo unazoita kelele na drama za ngono.Wasafi TV inaangaliwa sana na watu wanataka waone hayo madrama unayoyaita ya ngono.....Hao wanaijeria unaowasifia wanaimba nini zaidi ya mapenzi (huo ni unafki mkuu) Hao wamarekani unaowasema wanaimba nini zaidi ya mapenzi,kujisifia na matusi (unafki hautakufikisha popote).
Mimi sitetei wasanii kuimba matusi wala kufanya madrama ya ngono unayoyaita.Nakushangaa kuwa mnafki na kuendekeza wivu usio na maana...typical Tanzanian...LAZIMA UKUBALI KUWA VITU FLANI HUNA....PUNGUZA WIVU.
 
Ukisika Maweeeeeeee .....
 
Anapata viewa hizo kutoka na upya wa akaunti yake ya YouTube, Billionnaire Kid vinginevyo hakuna taofauti yoyote

Hao WCB kwasasa hakuna jipya, kwanza kampuni IMEYUMBAA redunduncy inaendelea ya kufa mtu.

- Mwarabu OUT
- Kifesi OUT
- Madansa HAWANA KAZI
- DIAMOND KARANGA - Haziuziki tena sokoni kama zamani
- PERFUME Ilikufa tangu siku ya kwanza.

WCB kama label imebaki na HARMONIZE, MWAJUMA, MBOSO na LAVALAVA.

Hata hiyo TV itabuma muda si mrefu, maana TV haiendeshwi kwa MADRAMA YA NGONO na KUNUNUA TU VIFAA.

Mwishowe watu watataka kuona CONTENTS ambayo huna uwezo wa kuitoa
Huu unafiki hufuatuli mziki wake lkn karanga zake unazijua, ndiyo yale yale ya wale wasio pendelea kula nyama ya nguruwe lakini mchuzi wake wanaunywa UNAFIKI.
Nikikwambia kigezo gani umepima ambacho kunaonesha karanga hazifanyi vizuri, huna zaidi ya hisia.

Watu wengine ya WASAFI bado wapo ktk majaribio unataka basi wawe ghafla juu, wawe na content. Hebu nitajie TV ambayo ndani ya miezi mitatu basi, ikawa na Content, ikawa juu itaje hapa bora hao Wasafi, Kuna TV miezi sita ya majaribio ya TCRA zinapiga miziki, baada ya hapo ndipo wanaandaa content.

Kwa hiyo ww kifesi angebaki WCB, ndio wasafi ungeiona ipo juu. Kifesi angebaki WCB ningemuona mjinga sababu,kama sasa hivi akiwa shapu hakosi milioni 4 kwa mwezi, kwani kwa wiki akipata sherehe zake 3 hakosi milioni, sasa ulitaka akae na diamond utafikiri mama yake mzazi.
Mwarabu fighter hana beef na WCB, Mwarabu fighter ametumia fursa ya umaarufu wake alioupata kupitia Diamond na kufungua kampuni yake na mabodyguard na events zote za WCB, mabodyguard wanatoka kwa Mwarabu fighter.

Eti mm sifuatili mziki wa bongo lkn karanga, kifesi, Mwarabu fighter, mpaka kiki zake zote unazifahamu, ww ni hater alafu acha UNAFIKI, ukiwa umekula nyama ya nguruwe au umekunywa mchuzi wake jua tu hapo UMEKULA NGURUWE.
 
Huu unafiki hufuatuli mziki wake lkn karanga zake unazijua, ndiyo yale yale ya wale wasio pendelea kula nyama ya nguruwe lakini mchuzi wake wanaunywa UNAFIKI.
Nikikwambia kigezo gani umepima ambacho kunaonesha karanga hazifanyi vizuri, huna zaidi ya hisia.

Watu wengine ya WASAFI bado wapo ktk majaribio unataka basi wawe ghafla juu, wawe na content. Hebu nitajie TV ambayo ndani ya miezi mitatu basi, ikawa na Content, ikawa juu itaje hapa bora hao Wasafi, Kuna TV miezi sita ya majaribio ya TCRA zinapiga miziki, baada ya hapo ndipo wanaandaa content.

Kwa hiyo ww kifesi angebaki WCB, ndio wasafi ungeiona ipo juu. Kifesi angebaki WCB ningemuona mjinga sababu,kama sasa hivi akiwa shapu hakosi milioni 4 kwa mwezi, kwani kwa wiki akipata sherehe zake 3 hakosi milioni, sasa ulitaka akae na diamond utafikiri mama yake mzazi.
Mwarabu fighter hana beef na WCB
Wapi nimesema sifuatilii UPUUZI ( **muziki) wa bongo ??
 
Angalia ulivyokuwa mnafiki mpaka unayakataa maneno yako uliyoyaandika au huyu sio ww.
""

Muziki Tanzania ulishakufa. Mimi siku hizi nasikiliza:
- Muziki wa Nigeria
- Muziki wa Marekani
- Cover songs + Mashups ( US/NIGERIA )
- USA up coming Artists kama "NEXT TOWN DOWN'" ""

Mziki kwako ndio upuuzi ila karanga, kifesi, mwarabu fighter, wasafi tv, perfume unafuatilia. Acha UNAFIKI.
 
Back
Top Bottom