Maskini Saida Karoli

mimikaye

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
88
Reaction score
48
Jamani jamani !Maskini Saida Karoli.

Huyu naye ana umaskini wa hatari nasikia Hata voucher ya simu hana.Sasa kuna msanii aliyeuza wa kike kama huyu? Huyu sasa ndo walimdhurumu kila kitu.Jamaa yule muhaya wa silent in club alikuwa anampa show elfu hamsini wakati yeye katengeneza Milioni mia tano.

Show za Saida mpaka Uganda zilikuwaa zinajaza ma milioni.

Tatizo huyu dada yetu alikuwa hata kuandika jina lake hajui so huyu baba akatumia hiyo kama silaha ya kumuibia.
 
Daladala shillingi mia ndani ya silent inn kila jumamosi eheee.
 
Hyo aliyemdhulumu
Mwisho wake atashangaa, dhuluma mbaya
 
Ni biashara isiyokuwa na baraka...mwisho wa wengi wao ( kama si wote ) ni mmbaya..iwe hapa au kokote duniani..holy books haziongopi.
 
Hii ndio bongo bana mnyonge ananyongwa na haki yake hapewi.
 
Asiyefunzwa na mamaye anafunzwa na ruge mutahaba.
Ruge na Clouds yao hawana mkono mchafu katika kuanguka Saida Carol... if you remember, enzi zile kulikuwa na Mzee mmoja wa Kihaya pande za Kinondoni akiitwa Mzee Muta wa FM... huyu mzee ndo kamtumia sana Saida Carol! Nakumbuka show yake ya kwanza baada ya kuingia mjini, ilikuwa pale Uwanja wa Taifa... ni history jinsi kulivyokuwa na nyomi! Yaani show ile peke yake ilitosha kabisa kubadilisha maisha ya Saida
 
anapiga kwenye vilabu vya pombe muta ni nyyoookkkoooo
So sad kwa kweli... babu noma sana yule... halafu sijamsikia siku hizi... unajua dhuluma zingine hata Mungu unamfanya awe anamwaga machozi... dhuluma ni dhuluma, lakini ukimdhulumu mtu kama Chibu, si ajabu hata Sir God akapotezea na kuishia kusema "nyoko zake, na yeye kazidi... utadhani totoz za ukweli zote nimempelekea yeye aaaaaargh... lidhulumuni tu..!" Lakini Sauda Carol... ah, wallah Mungu hawezi kukusamehe!
 
saida karoli alishtuka kama anadhulumiwa akajaribu kukimbia ikashindikana. Hamkumbuki alivyo kimbilia Uganda kumbe aliyemchukua naye tapeli akampigisha show, ela hakumlipa na kumtelekeza akamtelekeza.
Tatizo Saida hana elimu kabisa kwa hiyo kwake lazima ingekuwa ngumu kuji manage.
Muta ana roho ngumu nilisikia siku ile zamarad anaongea naye Muta akiwa USA anamuuliza kuwa kuna movie ya marekani wametumia wimbo wa chambua kama karanga kwenye movie yao, vipi saida kalipwa kwa wimbo wake kutumika. Muta akamjibu hapana naye kasikia ameanza fuatilia malipo ila zile nyimbo sio za saida ni za kwake ndivyo mkataba baina yake na saida unavyosema hivyo akipewa chochote anaweza mpa au asimpe ni uamuzi wake tu.
Na akatia msisitizo kwamba walikuwa wanakula bata baada ya ndugu yake kushinda bahati nasibu flani.
 

kumbe sio felician mutta bosi wa zamani wa fm academia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…