Jamani jamani !Maskini Saida Karoli.
Huyu naye ana umaskini wa hatari nasikia Hata voucher ya simu hana.Sasa kuna msanii aliyeuza wa kike kama huyu? Huyu sasa ndo walimdhurumu kila kitu.Jamaa yule muhaya wa silent in club alikuwa anampa show elfu hamsini wakati yeye katengeneza Milioni mia tano.
Show za Saida mpaka Uganda zilikuwaa zinajaza ma milioni.
Tatizo huyu dada yetu alikuwa hata kuandika jina lake hajui so huyu baba akatumia hiyo kama silaha ya kumuibia.