Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
relax zuzu wa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaesota korokoroni kwa uropokaji 🐒🐒Sawa TAHIRA WA MAMA
relax zuzu wa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaesota korokoroni kwa uropokaji 🐒🐒Sawa TAHIRA WA MAMA
Mtanziko ipi? Unafikiri waandishi na wamiliki unawazidi akili? Yaani, tetesi uanzishe wewe halafu eti kwanini Vyombo vya Habari haviandiki?Vyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!!
Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya habari vingefanya namna gani!
relax zuzu wa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaesota korokoroni kwa uropokaji 🐒🐒Sawa TAHIRA WA MAMA
Ndio maana sisi wengine tuliacha kusoma magazeti, kusikiliza radio na kutizama tv za bongoVyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!!
Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya habari vingefanya namna gani!
Kenya sio mfano wa kuigaVyombo vinamilikiwa na ccm watajadili nini ikiwa jambo lina muhusu mwenyekiti?
Kukubali vyombo kusajiliwa ilukuwa ni kitanzi kwao, usipowafurahisha wahusika TCRA wanakuhoji halafu msajiri ana kufutia chombo chako.
Hilo nimevifanya vyombo vya habari kuandikiwa habari na ccm na editors kupewa habari hizo kwa sharti la kubadirisha vichwa vya habari tu.
Ndio maana siku hizi magazeti yote habari zinafanana , isipokuwa vichwa vya habari.
Waludanganywa usajiri ungewapa uhuru, hawakujua kuwa usajiri ndii huchukua/hunyang'anya uhuru.
ingekua ni hivyo tu kwamaana ya Lazima au? uhuru uko wap sasa?Kwa mfano kipindi cha malumbano ya hoja, kipima joto, duru za siasa vingejikita zaidi na yaliyojiri mwezi/wiki hii mijadala ingekuwa ni hiyo tu. Yapo mazito ya chama tawala yasingepita bila kujadiliwa
Akili kama hizi ndio zimejaa ccm yule askofu ailinganisha akili za wakati tukiwa na chuo kimoja kikuu na hizi akili za Sasa vyuo vikuu 50.vyombo vya habari nchini Tanazania ni huru na havibabaishwi na matakwa au mapenzi ya yeyote juu ya kuandika, kutokuandika au kuripoti chochote 🐒
Kwani anaandikia mawe? Mlaji wa takataka ninani ? Habari za uongo ndio zimefanya magazeti yasinunuliwe.ingekua ni hivyo tu kwamaana ya Lazima au? uhuru uko wap sasa?
uhuru maana yake hiyari.
sasa muandishi kwa hiyari yake na chombo chake cha habari kaamua kuandika au kutokuandika jambo fulani, then asiehusika anapata mihemko, surely?🐒
Wapi nimesema tuige Kenya?Kenya sio mfano wa kuiga
Na hata hizi forums Kama JF Kwa sasa zimekua too biased… if you are not against serikali unaonekana chawa which is not right
Watanzania Tumekosa rational thinking
You have a pointWapi nimesema tuige Kenya?
lLafu kuikosia serikali sio kuwa against, bali inakosolewa kwa hicho chenye kasoro.
Ni tatizo kuwa na mawazo kama yako kwamba akukosoaye yuko against wewe, nadhani ni mtizamo mbaya.
kwanini usiwe huru katika kununua au kutokununua habari gentleman?Kwani anaandikia mawe? Mlaji wa takataka ninani ? Habari za uongo ndio zimefanya magazeti yasinunuliwe.
Gentleman,Akili kama hizi ndio zimejaa ccm yule askofu ailinganisha akili za wakati tukiwa na chuo kimoja kikuu na hizi akili za Sasa vyuo vikuu 50.
Hivyo vilishajifia,hivyo vilisha uwawa na ccmVyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!!
Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya habari vingefanya namna gani!
Taarifa za watu kutekwa na kuuawa siyo habari , Mgombea wa ccm kupita kihuni siyo hbr!? Kuuza Bandari siyo hbr!? Kupiga padri kitima siyo hbr!? Kufunga makanisa siyo hbr?, Wamasai kufukuzwa kwao siyo hbr!? Misitu kugawiwa siyo hbr!? Kudharau katiba ya Nchi siyo hbr!? Mahakama kunajisiwa siyo hbr!? Oli nde'sheMtanziko ipi? Unafikiri waandishi na wamiliki unawazidi akili? Yaani, tetesi uanzishe wewe halafu eti kwanini Vyombo vya Habari haviandiki?
Haya ebu twambie, unataka viandike nini ambacho wewe unalijua na una ushahidi nacho, lakini Vyombo vya Habari haviandiki?
Usiponijibu olaba olikifeera lwankorogo!!
vyombo vya habari nchini Tanazania ni huru na havibabaishwi na matakwa au mapenzi ya yeyote juu ya kuandika, kutokuandika au kuripoti chochote 🐒
Suala siyo Kenya bali Wandishi wa Habari wa Tanzania wamekosa muendelezo wa uandishi wa habari. Leo hii nakumbuka wangekuwepo akina Jonson Mbwambo, Stan Katabalo (Bingwa wa habari za uchunguzi) pangechimbika lkn leo hii Wandishi wenyewe ndo hawa hata hawaeleweki wanaandika/wanahitaji nini.Vyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!!
Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya habari vingefanya namna gani!
Waione akina Bailey na @Pasclal Mayala
Hizo sio habari.Taarifa za watu kutekwa na kuuawa siyo habari , Mgombea wa ccm kupita kihuni siyo hbr!? Kuuza Bandari siyo hbr!? Kupiga padri kitima siyo hbr!? Kufunga makanisa siyo hbr?, Wamasai kufukuzwa kwao siyo hbr!? Misitu kugawiwa siyo hbr!? Kudharau katiba ya Nchi siyo hbr!? Mahakama kunajisiwa siyo hbr!? Oli nde'she
relax zuzu wa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaesota korokoroni kwa uropokaji 🐒🐒