Maskini vyombo vya habari katika mtanziko wote huu hata mijadala hakuna!!

Maskini vyombo vya habari katika mtanziko wote huu hata mijadala hakuna!!

Vyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!!

Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya habari vingefanya namna gani!
Na ndio mana nchi imetulia.
 
Haha mama yao kapuuzwa?
vibaka na matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo wamesahaulika kabisa huko korokoroni dah.

uhuru wa vyombo vya habari lazma uwe mbaya tu kwa style hii šŸ’
 
vyombo vya habari nchini Tanazania ni huru na havibabaishwi na matakwa au mapenzi ya yeyote juu ya kuandika, kutokuandika au kuripoti chochote šŸ’
Tuliviona vilipokuwa huru, na tunajua ni kuanzia lini uhuru wao ulipokwa.
 
Hii nchi ndo maana wengine wanatuita makondoo na kweli watanzania sie kwa kufikiri tuna tofauti ndogo sana na hayawani. Vyombo hivi vyote vinavyoonekana vimeanzishwa kwa ajiri ya kupiga wimbo wa Taifa a.k.a singeli baasi. Na hata watangazaji wake ndo hao hao akina mwijaku na baba levo ...waongee nini sasa kuna mtu anaweza hata kuielezea historia ya nchi hii miaka 30 nyuma, wanaijua? So hata wakipewa tu hiyo nafasi itakuwa ni fedhea tu
 
Na ndio mana nchi imetulia.
Mtauficha ukweli mpaka lini!?hamuoni siku ukitaka kutoka wenyewe hali itakuwa mbaya!? Siku vyombo vya hbr vikimuhasi ibilisi nchi haitatawalika ni vyema tukifunze kuridhiana na kuusema ukweli.
 
Vyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!!

Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya habari vingefanya namna gani!
Raisi magufuli alikuwa hataki kabisa kusikia kuhusu uhuru wa habar
Alihakikisha vina muimba yeye tu.
Hata picha za front pages zilikuwa ni kwa hisani ya raisi. Magazeti yote yaliweka pucha moja inayofanana kwa kila tukio
Amekufa na kuacha alama hii mbaya kabisa
Taifa bila vyombo huru vya habari ni mfu
 
wagonjwa wote wenye matatizo ya mihemko na makasiriko nonsense, kwaajili tu eti maoni yao hayajaandikwa na vyombo vya habari huru ni muhimu sana wakapelekwa huko na kupatiwa matibabu na hatimae wapete relief mioyoni na kwenye saikolojia zao šŸ’
Chura kiziwi atapelekwa India baada ya kuchanganyikiwa na uchumi wa kuishinda ulaya na Marekani.
IMG_1897.jpeg
 
Vyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!!

Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya habari vingefanya namna gani!
Vipo bize na tetesi za usajili wa carrier corps!
 
Vyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!!

Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya habari vingefanya namna gani!
Screenshot_20250719-142848.png

Vyombo vya habari bongo
 
Back
Top Bottom