wagonjwa wote wenye matatizo ya mihemko na makasiriko nonsense, kwaajili tu eti maoni yao hayajaandikwa na vyombo vya habari huru ni muhimu sana wakapelekwa huko na kupatiwa matibabu na hatimae wapete relief mioyoni na kwenye saikolojia zao π
Na ndio mana nchi imetulia.Vyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!!
Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya habari vingefanya namna gani!
Toilet papers?vyombo vya habari nchini Tanazania ni huru na havibabaishwi na matakwa au mapenzi ya yeyote juu ya kuandika, kutokuandika au kuripoti chochote π
na vimewapuuza kabisa wenye mihemko na makasiriko πToilet papers?
...Vyombo vilivyobaki ni hivi vya mitandaoni.
Haha mama yao kapuuzwa?na vimewapuuza kabisa wenye mihemko na makasiriko π
vibaka na matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo wamesahaulika kabisa huko korokoroni dah.Haha mama yao kapuuzwa?
Avatar yako na hoja yako uliowasilisha vinakinzana πDikteta Sa100 anatisha.
Tuliviona vilipokuwa huru, na tunajua ni kuanzia lini uhuru wao ulipokwa.vyombo vya habari nchini Tanazania ni huru na havibabaishwi na matakwa au mapenzi ya yeyote juu ya kuandika, kutokuandika au kuripoti chochote π
Mtauficha ukweli mpaka lini!?hamuoni siku ukitaka kutoka wenyewe hali itakuwa mbaya!? Siku vyombo vya hbr vikimuhasi ibilisi nchi haitatawalika ni vyema tukifunze kuridhiana na kuusema ukweli.Na ndio mana nchi imetulia.
Raisi magufuli alikuwa hataki kabisa kusikia kuhusu uhuru wa habarVyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!!
Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya habari vingefanya namna gani!
Chura kiziwi atapelekwa India baada ya kuchanganyikiwa na uchumi wa kuishinda ulaya na Marekani.wagonjwa wote wenye matatizo ya mihemko na makasiriko nonsense, kwaajili tu eti maoni yao hayajaandikwa na vyombo vya habari huru ni muhimu sana wakapelekwa huko na kupatiwa matibabu na hatimae wapete relief mioyoni na kwenye saikolojia zao π
Vipo bize na tetesi za usajili wa carrier corps!Vyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!!
Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya habari vingefanya namna gani!
Vyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!!
Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya habari vingefanya namna gani!