Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Hivi wewe una shida gani kwenye ubongo wako?.Huyo mtanzania ingekua kauawa kwenye nchi ya Kiarabu,sasa hivi kwenye hii thd kungekua na mafuriko ya comments na matusi juu.
Huyo mwenye dread ndiyo mtanzaniaHuyo marehemu kama ilivyo kwa matajiri wengine hata hapa TZ alikuwa akituhumiwa kutumia ushirikina kwenye ishu zake. Kuna kesi ziliibuka za watu kupotea na kukutwa wameuwawa huku sehemu za siri zikiwa zimenyofolewa. Watu wakawa wanamyooshea kidole kuwa ni mhusika. Tukio la kifo cha Mwiya ndo ikawa kama 40 yake ingawa bado wananchi hawakuwa na uhakika 100%. Mwakyoma nae alikuwa mfanyabiashara huko Mumbwa na alifahamika zaidi kwa jina la Dollar One (a.k.a). Huenda pia sababu nyingine iliyofanya maskini wawe na hasira ni tabia ya jamaa enzi za uhai wake kugawa pesa kwa kurushia watu.
Imekuchoma eeh? Huo ndio ukweli mchungu,vumilia tu,ukweli hua unatabia ya kuchoma kama pasi.
Mwanadam hatari siku wakikuamiliaIla wamewaua vibaya Sana.
Kabisa Mkuu... Why them!? Si bure.Apandacho mtu ndicho atakachovuna.
Marehemu huenda kavuna alichopanda aidha hadharani au sirini
Mungu anapopitisha hukumu hutumia sababu yoyote ile ili uhukumiwe
Kama kweli walikuwa wananyofoa watu viungo... Mkuu ..tusikufuru tu , ila wamehudumiwa sawa na matendo yao.Mwanadam hatari siku wakikuamilia
Watakufanyia kitu cha ajabu sana
Ova
Baas.. case closed.wamemfata Raia wenye hasira, kumweka mtu kati anasema yeye anatumwa tu, anatumwa na nani...!?
Sasa anakuwaje sawasawa huku kachomwa moto?Huyu mwamba, namuombea akiweka Mambo yake sawa, aje na nyumbani awekeze, maana kitaa pamekuwa pagumu kama jiwe!!
Watu wanakimbilia kulaani tu bila kutazama upande wa piliKabisa Mkuu... Why them!? Si bure.
Serikali inapozembea kuwapatia wananchi wake elimu bora haya ndiyo sehemu ya madhara ya kukosa elimu.POLISI ZAMBIA wamethibitisha kifo cha Mfanyabiashara maarufu wa Nkeyema, Zambia, Sikaonga Ernest almaarufu Yakaipa na rafiki yake David Mwakyoma Mtanzania aliyechomwa moto na kundi la maskini wenye hasira kali.
Wawili hao wameuawa katika Wilaya ya Mumbwa na kundi la maskini wenye hasira kali wakati wa ghasia baada ya taarifa kuenea kuwa mtu mwingine aliyejulikana kama Mwiya Kashweka ameuawa na kuondolewa sehemu za siri ambapo kina Mwakyoma walidhaniwa ndo walifanya unyama huo.
Majengo mbalimbali ya umma yameharibiwa na wananchi waliofanya ghasia miongoni mwao ofisi ya Mifugo kuteketezwa na kuwa majivu, madirisha ya ofisi za Polisi, Uhamiaji na Usajili wa Taifa yote yamevunjwa.
Magari na lodge ya marehemu Yakaipa yaliharibiwa kwa kuchomwa moto. Hii ilikua tarehe 13/09/2023.
Binafsi nimesikitishwa sana na hizi taarifa na kulaani maskini wote wanaodhani matajiri wote wamepata utajiri wao kwa kutumia nguvu za giza. Wazambi ni wapole ila wana wivu mkubwa kwa kudhani wanaopambana na kufanikiwa hudhulumu haki zao. Ndugu Mwakyoma na mwenzie wameuwawa kwa kudhaniwa kuwa wanahusika na ushirikina uliosababisha kifo cha Mwiya. Na kwa siku za karibuni kumekuwa na kamata kamata ya watanzania waliopo huko.
Ila pia kwa upande mwingine kuna watanzania wenzetu wanaotuchafua sana kwa majirani kwa kuendekeza ushirikina. Mwaka jana kuna watanzania waliokamatwa Zambia kwa kwenda kufanya kazi ya kutoa uchawi kule Zambia kama wanavyofanya Kigoma na Sumbawanga. Ukiwa mtanzania kwa nchi za jirani unachukuliwa kama mbobevu kwenye ushirikina.
View attachment 2761245View attachment 2761246View attachment 2761248View attachment 2761249View attachment 2761250View attachment 2761252View attachment 2761253
Mafisadi ni werevu kuliko maskini. Mafisadi hawafisadi mpaka wawachonganishe maskini. Maskini wakishaanza kugombana ndipo mafisadi wanafanya yao.Ghasia hizi waafrika tungeziweka kwa mafisadi wetu nahisi mpaka sasa tungekuwa mbali kiuchumi.
Wewe pia ni maskini mwenye ujuaji. Uwe unaandika tu kwa kiswahiliSerikali inapozembea kuwapatia wananchi wake elimu bora haya ndiyo sehemu ya madhara ya kukosa elimu.
Msiwaite maskini, hao ni angry mob.
Elimu
Elimu
Elimu
Kitu gani?Kuna kitu nilijifunza kwa hao matajili wa Zambia na Tunduma Hadi mbeya
Mtu amekufa we unatuma emoji za kuchekaBabu yenu Julius alisema Wazambia ni ndugu zenu Sasa imekuaje? 🤣🤣
Usijali. Ulichoelewa chukua, kilichokutoa kapa achana nachoWewe pia ni maskini mwenye ujuaji. Uwe unaandika tu kwa kiswahili
Zamani nilikua nikipeleka Biashara Zambia, Lusaka, Ndola, Kitwe, Luanshya, na Boda ya Congo huko, so najua sana kuhusu Matajiri wakubwa wa Zambia kutajirika kwa Uchawi kutokea Tanzania, Waganga wao wapo Iringa na Mbeya, na kuna Mama mmoja alikua Morogoro ni Marehemu sasa.Angalau wewe umetoa ufafanuzi