Maslahi madogo Clouds yamtoa Ruby Fiesta

Kwani Clouds ndo nini? Wanapata kichwa halafu wawanyonye wasanii wetu!!! Hawana hela za kuwalipa wakae pembeni Hata Diamond alise na aliweka kiwango kuwa chini ya million 15 sifanyi show yoyote ile haijarishi ni nani kaandaa mbona yupo juu bado!!!! Ni wakati wa wasanii kutambua dhamani zao na kujitambua na kuachana na njaaa wataheshimika sanaa

Big up Ruby
 
Jide is Untouchable
 
We hujui, rates za clouds zinadrop kila kukicha chukua hyo
 
Sure mkuu watu wanadhani mchezo, luge anahaha now hajui aanze na lipi jide anampumulia huku majizo na efm yake huku eatv wee hana chake tena
 
Acha uoga maisha ya nahitaji uthubutu
 
Me hadi naona aibu kwa uoga wa watu humu ndani, huko maofisini na vyuoni si wananyanyasika sana jamani? Ndio maana wachina na wahindi wanapiga wafanyakazi
 
Huyu ana safari fupi sana.... Kaanza vindumbwendumbwe mapema sana
 
Me hadi naona aibu kwa uoga wa watu humu ndani, huko maofisini na vyuoni si wananyanyasika sana jamani? Ndio maana wachina na wahindi wanapiga wafanyakazi

Unachanganya mambo! Hakuna aliye na tatizo na Ruby kutofanya show ya Fiesta! Issue ni kwamba, ilikuwaje alisaini mkataba wakati anafahamu maslahi ni madogo?! Ina maana hakusoma mkataba?! Sasa kama hakusoma ni tatizo la nani? Mwenyewe Ruby huyu hapa chini akionesha excitement baada ya kusaini:
 
Wabongo wengi waoga kishenzi yaan ndo maana wakija wageni mna nyanyaswa, na huwa mfanyi chochote hivo hivo, kwa sababu uonevu inabidi uwe unakemewa hapo hapo hakuna cha mpaka mtu ajipange
Khaaa!!
 
Wabongo wengi waoga kishenzi yaan ndo maana wakija wageni mna nyanyaswa, na huwa mfanyi chochote hivo hivo, kwa sababu uonevu inabidi uwe unakemewa hapo hapo hakuna cha mpaka mtu ajipange
Khaaa!!

- Huwezi kuwa Shujaa na things like this, msichana kakosea sana kajiharibia mwenyewe.

le Mutuz
 
Wabongo wengi waoga kishenzi yaan ndo maana wakija wageni mna nyanyaswa, na huwa mfanyi chochote hivo hivo, kwa sababu uonevu inabidi uwe unakemewa hapo hapo hakuna cha mpaka mtu ajipange
Khaaa!!
Afu mchina akimpiga mfanyakazii wake utawaona wanavyoshare video na picha zikizindikizwa na kukemea vikali kumbe kimoyomoyo wanaona ni sahihi
 
Uthubutu upi? Huo wa kusaini mkataba huku ukipiga vigelegele hadi una-post Instagram kwa mbwembwe zote halafu baadae unageuka ndo unasema ujasiri?! Ni nani anataka kufanya kazi na mtu asiyeheshimu makubaliano?!
Wao wamekiuka vingapi? Luge anavopenda ligi tutaona km atampeleka mahakamani
 
Twende kwa hoja sio kashfa,maana ukiambiwa hilo jambo uthibitishe utaweza?Suala la msanii kutetea haki yake ni suala lake yeye binafsi hata kama isingekuwa clouds,kwa hilo nampongeza,na lazima tujue jamani risk takers ndio wanaomove kimaisha,kuna wakat hukutana na changamoto ila mwisho wa siku hufanikiwa,me namuona bint yupo sahihi,unakuaje muoga while Tanzania kuna redio zaidi ya 80?na zinaendelea kupata leseni.Kuamini kuwa clouds ndo kila kitu ni ishara ya kwamba hatuna maono.....Msanii atoe wimbo mzuri na atashine tu
 
Being underpaid is one thing,and being ''commando'' is another different story,...Asije tu akafungwa na mkataba waliowekeana awali(kama upo in the first place)..She is obliged to abide by contractual terms and conditions,or else........
Hilo nalo neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…