Maslahi madogo Clouds yamtoa Ruby Fiesta

Ila kumbuka hapo ruby analalamika kwamba price ndogo, sasa alipwe mil. 10? Kwa nyimbo ngapi alizotoa yaani hako kadada kanaleta nyodo while tumekajua kupitia clouds
Mtu unajibrand polepole afu wamemtoa clouds charity ile akili zako unadhani wao hawakupata manufaa?? Acheni upuuz sio kwamba kisa wamemtoa ndo uwe obligated kufanya kila unachoambiwa tunapotea kwa kuto jiamini
 
Hahahaha!eti we aku ntamwambia mama..ntamwambia mama unanisumbua..yan wabongo hawaishi vimbwenga.
Alafu hiyo nyimbo kaitengenezea skendo kwa anatoka na aslay baada ya cku 2, ndo wakao huo wimbo, sasa huyo anaetegemea kiki ili atoe wimbo ndo analeta bifu na mawingu? Hahaaa
 
Acha ujinga wewe wa kuabudu radio ya mashoga...clouds ni nani mpaka anachotaka yeye ndo watu wakubali. Mziki wetu ulianza miaka mingi hata kabla ya hao clouds na ukasambaa. Na mziki wetu unaweza endelea sana bila hao mashoga. Walamba lips. Kikubwa ni self-determination. Harakati zitaendelea by any means necessary
 
Kama huwezi kujivalue mwenyewe nobody will ndugu yangu jifunze kuwa bold itakusaidia clouds ni nani bwana??
kweli mkuu kama wewe mwenyewe unajiweka wa chini na watu watakuweka chini tu
 
Ndo ilivo alafu et anasema kwann jide anajiita komando hahahaaa ruby bhana sijui nani kamshauri vibaya maskin Nina imani hajaamua kwa akili yake
huyo kashawishiwa ana maringo sana alishawakataliga yamoto kufanya video na wengine sijui kina nani nimesahau!
so kashajiharibia tayari kwa baadhi ya wasanii wataanza kumtenga.

ajiangalie kukurupuka sio kuzuri hata kidogo!
 
ukwel wa haya mambo ni ruby kusema amekataa kias gan toka clouds usikute tunamtetea ruby kumbe alitaka kulipwa 10mln kwa show au tunawatetea clouds kumbe walitaka kumlipa laki 5 kwa show...
 
Binafsi mm sio mpenzi wa hiyo media lakini reality iko hivo wasanii wengi wanakuwa pale clouds kwa akili akijiona anaweza peke yake anasonga mbele, mfano Diamond, naye kapitia clouds lkn sa HV ameshasimama mwenyewe kwahiyo msiwaongopee hao wasanii wachanga Kama kina ruby kuweka bifu na mawingu maana watapotea mazima , clouds media ni media no mmoja inayosapot mziki wa bongo fleva huo ndo ukweli
 
huyo kashawishiwa ana maringo sana alishawakataliga yamoto kufanya video na wengine sijui kina nani nimesahau!
so kashajiharibia tayari kwa baadhi ya wasanii wataanza kumtenga.

ajiangalie kukurupuka sio kuzuri hata kidogo!
Wapambe nuksi ndo maana Mimi sinaga washauri katika mipango yangu ya maisha, hapo ukute kashawishiwa na mwenzie ambae hajachaguliwa kwenda fiesta[emoji3] [emoji3]
 
Wapambe nuksi ndo maana Mimi sinaga washauri katika mipango yangu ya maisha, hapo ukute kashawishiwa na mwenzie ambae hajachaguliwa kwenda fiesta[emoji3] [emoji3]
hahahaaaa!!!ukute hvyoo!!kamuonea donge!
 
Nina wasiwasi kama si kick sijui.. Halafu teentz si mtandao wa B 12?

Na katika hili kama ni kweli Ruby alitakiwa kwanza kufanya hiyo show maana kama alisign mkataba basi amekiuka na anaweza kuburuzwa mahakamani.

Pia huyu binti hana ubavu wa kupambana na media bado mchanga sana... Nyimbo alizo nazo ni mbili tuu sasa ataweza kweli kupambana na media?

Mmh Huu mziki wa kupambana anauweza mwanaume Lady Jaydee..huyu ni komando ana kiburi na ni katili sana sio kazi ndogo kuwa na misuli ya Lady Jaydee..

Bila shaka hii ni kick tuu..
 
Kitendo alichofanya ni cha kishujaa japo najua kuna wabongo wao hupinga kila kitu
Hata kama ana nyimbo mbili , sasa ndo aka fanye show sawa na bure kisa hzo nyimbo mbili!!!

Japo ka pick fight kubwa sana na kina Ruge ila at least kaonesha ujasiri wa kuongea
 
na huyo diamond hata Leo clouds wakimtaka kumtumia wanamtumia japo hawezi lipwa km anavyolipwa young killer au ruby Ila hawamlipi 50mils per show!!never!!!
 
ishakula kwake ruby!!na hao wanaomsapoti sio kama tunaunga mkono malipo madogo ya clouds Ila kwa nn alisign contract?
hv hawa wasanii wetu hawajui maana ya mkataba?!
mkataba kaingia kipindi anatoka(nobody knew her by then),hakufahamu future value ya mkataba..sasa utekelezaji wake umemkuta kishakuwa maarufu(kasahau,kama hakukua na kipengele cha kuadjust terms,imekula kwake)....
 
Duuuuu kumekucha

Sasa watoto wa kike wanafunguka, ya kiume yapo yapo tu

Nidhahiri kuwa
Msanii mkubwa hulipwa lak 7 had million moja tu

Huku wasanii wa daraja la kati wakichukua laki tatu hadi sita

Wasanii wa kitanzania hawapo huru kabisa
 
hata kama hana ndo ulipwe laki moja? si bora akawe muhudumu mango garden?
Kafanya la maana unakuta mtu una zunguka fiesta mikoa yoote halaf unachopata ni bora ungeuza mitumba tuu uingize faida zaid

Cloudz washenz kwel kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…