me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
Ndo ilivo alafu et anasema kwann jide anajiita komando hahahaaa ruby bhana sijui nani kamshauri vibaya maskin Nina imani hajaamua kwa akili yakekakiuka mkataba wa makubaliano!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ilivo alafu et anasema kwann jide anajiita komando hahahaaa ruby bhana sijui nani kamshauri vibaya maskin Nina imani hajaamua kwa akili yakekakiuka mkataba wa makubaliano!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni shida aseeHahahaha!eti we aku ntamwambia mama..ntamwambia mama unanisumbua..yan wabongo hawaishi vimbwenga.
Mtu unajibrand polepole afu wamemtoa clouds charity ile akili zako unadhani wao hawakupata manufaa?? Acheni upuuz sio kwamba kisa wamemtoa ndo uwe obligated kufanya kila unachoambiwa tunapotea kwa kuto jiaminiIla kumbuka hapo ruby analalamika kwamba price ndogo, sasa alipwe mil. 10? Kwa nyimbo ngapi alizotoa yaani hako kadada kanaleta nyodo while tumekajua kupitia clouds
Alafu hiyo nyimbo kaitengenezea skendo kwa anatoka na aslay baada ya cku 2, ndo wakao huo wimbo, sasa huyo anaetegemea kiki ili atoe wimbo ndo analeta bifu na mawingu? HahaaaHahahaha!eti we aku ntamwambia mama..ntamwambia mama unanisumbua..yan wabongo hawaishi vimbwenga.
Acha ujinga wewe wa kuabudu radio ya mashoga...clouds ni nani mpaka anachotaka yeye ndo watu wakubali. Mziki wetu ulianza miaka mingi hata kabla ya hao clouds na ukasambaa. Na mziki wetu unaweza endelea sana bila hao mashoga. Walamba lips. Kikubwa ni self-determination. Harakati zitaendelea by any means necessaryWe unaongea tu hujui usione wasanii wote wanaokubaliana na matakwa ya clouds kwamba ni wajinga wanajua wanachokifanya clouds ukifanya nao bifu na wakati huo hujajiweka vizur kimziki wanakutoa kwenye ramani, jide ni untouchable ndo maana walishindwa ,, kina Weusi, fid Q ,n.k usiwaone ni wajinga kuwa pale wanajua nn wanafanya.. Haya sasa huyo ruby Hana hta vinyimbo 5 kashaanza kujishebedua anataka alipwe million 10??
kweli mkuu kama wewe mwenyewe unajiweka wa chini na watu watakuweka chini tuKama huwezi kujivalue mwenyewe nobody will ndugu yangu jifunze kuwa bold itakusaidia clouds ni nani bwana??
huyo kashawishiwa ana maringo sana alishawakataliga yamoto kufanya video na wengine sijui kina nani nimesahau!Ndo ilivo alafu et anasema kwann jide anajiita komando hahahaaa ruby bhana sijui nani kamshauri vibaya maskin Nina imani hajaamua kwa akili yake
Binafsi mm sio mpenzi wa hiyo media lakini reality iko hivo wasanii wengi wanakuwa pale clouds kwa akili akijiona anaweza peke yake anasonga mbele, mfano Diamond, naye kapitia clouds lkn sa HV ameshasimama mwenyewe kwahiyo msiwaongopee hao wasanii wachanga Kama kina ruby kuweka bifu na mawingu maana watapotea mazima , clouds media ni media no mmoja inayosapot mziki wa bongo fleva huo ndo ukweliAcha ujinga wewe wa kuabudu radio ya mashoga...clouds ni nani mpaka anachotaka yeye ndo watu wakubali. Mziki wetu ulianza miaka mingi hata kabla ya hao clouds na ukasambaa. Na mziki wetu unaweza endelea sana bila hao mashoga. Walamba lips. Kikubwa ni self-determination. Harakati zitaendelea by any means necessary
Wapambe nuksi ndo maana Mimi sinaga washauri katika mipango yangu ya maisha, hapo ukute kashawishiwa na mwenzie ambae hajachaguliwa kwenda fiesta[emoji3] [emoji3]huyo kashawishiwa ana maringo sana alishawakataliga yamoto kufanya video na wengine sijui kina nani nimesahau!
so kashajiharibia tayari kwa baadhi ya wasanii wataanza kumtenga.
ajiangalie kukurupuka sio kuzuri hata kidogo!
hahahaaaa!!!ukute hvyoo!!kamuonea donge!Wapambe nuksi ndo maana Mimi sinaga washauri katika mipango yangu ya maisha, hapo ukute kashawishiwa na mwenzie ambae hajachaguliwa kwenda fiesta[emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahaaaa!!!ukute hvyoo!!kamunra donge!
na huyo diamond hata Leo clouds wakimtaka kumtumia wanamtumia japo hawezi lipwa km anavyolipwa young killer au ruby Ila hawamlipi 50mils per show!!never!!!Binafsi mm sio mpenzi wa hiyo media lakini reality iko hivo wasanii wengi wanakuwa pale clouds kwa akili akijiona anaweza peke yake anasonga mbele, mfano Diamond, naye kapitia clouds lkn sa HV ameshasimama mwenyewe kwahiyo msiwaongopee hao wasanii wachanga Kama kina ruby kuweka bifu na mawingu maana watapotea mazima , clouds media ni media no mmoja inayosapot mziki wa bongo fleva huo ndo ukweli
mkataba kaingia kipindi anatoka(nobody knew her by then),hakufahamu future value ya mkataba..sasa utekelezaji wake umemkuta kishakuwa maarufu(kasahau,kama hakukua na kipengele cha kuadjust terms,imekula kwake)....ishakula kwake ruby!!na hao wanaomsapoti sio kama tunaunga mkono malipo madogo ya clouds Ila kwa nn alisign contract?
hv hawa wasanii wetu hawajui maana ya mkataba?!
Kafanya la maana unakuta mtu una zunguka fiesta mikoa yoote halaf unachopata ni bora ungeuza mitumba tuu uingize faida zaidhata kama hana ndo ulipwe laki moja? si bora akawe muhudumu mango garden?