Hawa wanaomsema huyu binti nawashangaa sana na kama ni wanaume wenzangu basi wavae bikini tu,yaani mtoto wa watu anapambana kupinga dhuluma kupitia kipaji chake watu wanamdhihaki na kumwambia ataporomoka,kweli!!!!!!nna uhakika hawa wanaosema haya ni wasomi zaidi ya huyo bint ila bado hawajiamini,yaan mtu anahisi hawez kuendelea kimuziki bila CLOUDS,haya leo
TCRA wakiifungia?ina maana wasanii wote watapotea.
Mafanikio huja kwa kujaribu,vijana wenzetu wabadilike,ukibana pua kuwa "Bila Clouds HIFIKI MBALI" kweli hutafika....Sugu yule pale amepoooondwa 2010 na bado akashinda ubunge,walimghas sanaaa,mwaka jana ndo kaongoza kwa kura za UBUNGE.
ALITHUBUTU