Maslahi ya Majaji Tanzania yapoje?

Maslahi ya Majaji Tanzania yapoje?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Ningependa kufahamu maslahi ya hawa waheshimiwa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu
1. Mishahara,
2. GARI VX/V8(SUV) zenye utambulisho maalum (JR, J),
3. Ulinzi,
4. Dereva,
5. Nyumba,
6. Posho ya mavazi,
7. Mafunzo ughaibuni,
8. Umeme,
9. Maji,
10. Airtime (muda wa maongezi kwenye simu zao za mikononi),
11. Posho ya vikao na safari.

NB: Ikiwa haya yote yanazingatiwa kuna ambae atakubali kuchukua RUSHWA kweli? Maana daah full raha
 
Attachments

  • 5728172-221084fb768f69a4a784a0e2340c6553.mp4
    2.7 MB
Mi nafahamu mshahara jaji alikuwa analipwa milioni nane mwaka 2020 sijajua kwa sasa
si haba hapo unalipiwa kila kitu (usafiri, airtime, ulinzi, pango/rent/housing allowance/outfit allowance) huku medical doctors(kozi ya miaka 5) na specialists (masomo na uzoefu zaidi) wanalamba laki 7 tu huku wakichezea kinyesi cha wagonjwa na wengine operesheni masaa 6 mfululizo
 
Ningependa kufahamu maslahi ya hawa waheshimiwa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu
1. Mishahara,
2. GARI VX/V8(SUV) zenye utambulisho maalum (JR, J),
3. Ulinzi,
4. Dereva,
5. Nyumba,
6. Posho ya mavazi,
7. Mafunzo ughaibuni,
8. Umeme,
9. Maji,
10. Airtime (muda wa maongezi)
11. Posho ya mavazi.
Mnyika wa CDM ana maslahi bora kuliko hao Majaji
 
Kuna faza mmoja ni faza ake jamaangu kabisa kulaleki maisha ya yule mdingi ni mazuri kwa kweli, mkononi utamkuta na rolex ya kununua crown mbili, anapush mpira mmoja wa hatari , anamabiashara, kama saivi imetoka hata iphone 15 lazima anayo, ana bonge la mansion Masaki, ye kila kitu kwake ni brand aisee, dingi sijawah kumwona na Toyota…Huyu mzee tukiwaga tumekwama ndio tunaendaga kutubu, ni myamwezi sana….
 
Hayo maisha Safi sana
 
Hayo maisha Safi sana
Kila november lazima liende ulaya kula good time, sijui anafanyaje fanyaje kupata hizo hela ila masta hela tutafute kwa nguvu sana watoto wake wote kawatafutia michongo anaetaka kuoa aoe na harus hazinaga michango ila mtakula na kunywa mpagawe , aloo ukienda jion maskani kwake, unakuta linapiga piga tizi za hapa na pale yan lile faza huwa ni li role model langu halinaga stress daaah…
 
Back
Top Bottom