Maslahi ya Majaji Tanzania yapoje?

Maslahi ya Majaji Tanzania yapoje?

Screenshot_20231212-204609.png
 
Mnatubu kwake?.Amekuwa Mungu?

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Sasa umsumbue mungu kwa tatizo dogo la pesa? Mungu amekaimisha majukumu mengine kwetu sisi wenyewe....
So lazima vijana waungame kwa mzee awape ya ulanzi coz yeye jibu lake ni la papo kwa papo ila Mungu utamwomba hela ukiwa kijana akaja kukupa zimebaki wiki mbili ufe. Hachunguziki kabisa huyu Mungu
 
Ha ha ha ha ha ha ha hao wamba judges bila hata salary wanaishi. Kupitia hongo za kesi. Tena kwa hongo ndo chapaa ipo kuliko hiyo ya end of the month
 
Eskoti ya polisi kwa barabara na majini,lita sabini kwa wiki and everything.Nahisi kwasababu ya unyeti wa makesi mazito mazito wanayo shughulikia ndo mana wanapewa vipaumbele vizito vizito kama hivyo.
 
Ningependa kufahamu maslahi ya hawa waheshimiwa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu
1. Mishahara,
2. GARI VX/V8(SUV) zenye utambulisho maalum (JR, J),
3. Ulinzi,
4. Dereva,
5. Nyumba,
6. Posho ya mavazi,
7. Mafunzo ughaibuni,
8. Umeme,
9. Maji,
10. Airtime (muda wa maongezi kwenye simu zao za mikononi),
11. Posho ya vikao na safari.

NB: Ikiwa haya yote yanazingatiwa kuna ambae atakubali kuchukua RUSHWA kweli? Maana daah full raha
kwa taarifa yako, kuna majaji wengi tu wanatamani hata kutoka kwasababu kile wanafanya hakilingani na kile wanapata na lifestyle yao waliyowekewa. Pia, kwenye issu eya slaa, mahakama iachwe, yeye mbona kamwongelea jaji tu hajaongelea upande wa huyo tapeli?
 
Ningependa kufahamu maslahi ya hawa waheshimiwa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu
1. Mishahara,
2. GARI VX/V8(SUV) zenye utambulisho maalum (JR, J),
3. Ulinzi,
4. Dereva,
5. Nyumba,
6. Posho ya mavazi,
7. Mafunzo ughaibuni,
8. Umeme,
9. Maji,
10. Airtime (muda wa maongezi kwenye simu zao za mikononi),
11. Posho ya vikao na safari.

NB: Ikiwa haya yote yanazingatiwa kuna ambae atakubali kuchukua RUSHWA kweli? Maana daah full raha
NDUGUUU SIKIA KWA WATU YAKIKUKUTA MAHAKAMAN UTAWAJUA
 
Ningependa kufahamu maslahi ya hawa waheshimiwa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu
1. Mishahara,
2. GARI VX/V8(SUV) zenye utambulisho maalum (JR, J),
3. Ulinzi,
4. Dereva,
5. Nyumba,
6. Posho ya mavazi,
7. Mafunzo ughaibuni,
8. Umeme,
9. Maji,
10. Airtime (muda wa maongezi kwenye simu zao za mikononi),
11. Posho ya vikao na safari.

NB: Ikiwa haya yote yanazingatiwa kuna ambae atakubali kuchukua RUSHWA kweli? Maana daah full raha
Historia inategemea ujaji aliupataje, ni kama teuzi tu na kamba ndef etc
 
Back
Top Bottom