Maslahi ya Majaji Tanzania yapoje?

Maslahi ya Majaji Tanzania yapoje?

aise!
Halafu umkute Jaji anakula rushwa, huyo anafaa KUNYONGWA KABISAA.
i
 
Kila november lazima liende ulaya kula good time, sijui anafanyaje fanyaje kupata hizo hela ila masta hela tutafute kwa nguvu sana watoto wake wote kawatafutia michongo anaetaka kuoa aoe na harus hazinaga michango ila mtakula na kunywa mpagawe , aloo ukienda jion maskani kwake, unakuta linapiga piga tizi za hapa na pale yan lile faza huwa ni li role model langu halinaga stress daaah…
Ndio mimi hapa kijana wangu
 
Apart from mshahara jaji anapiga mamilion ya wahalifu ili awasaidie wasiende lupango.ukisikia jera anakwenda masikini jua hao matajili wanakula na jaji
 
Back
Top Bottom