si haba hapo unalipiwa kila kitu (usafiri, airtime, ulinzi, pango/rent/housing allowance/outfit allowance) huku medical doctors(kozi ya miaka 5) na specialists (masomo na uzoefu zaidi) wanalamba laki 7 tu huku wakichezea kinyesi cha wagonjwa na wengine operesheni masaa 6 mfululizoMi nafahamu mshahara jaji alikuwa analipwa milioni nane mwaka 2020 sijajua kwa sasa
si haba hapo unalipiwa kila kitu (usafiri, airtime, ulinzi, pango/rent/housing allowance/outfit allowance)
Haealipiwi wanalipwa pesa wakalipie wenyewe ila ukipangiwa nyumba ya Serikali utapewa nusu ya pesa kwa ajili ya marekebisho ukiishi nyumba binafsi utapewa pesa yote ya makazi sio kubwa sanaNa umeme, maji, chakula na viburudisho wanalipiwa? Aisee
Majaji waboreshewe maslahi zaidi. Mshahara uanzie 13m kama wabungeNingependa kufahamu maslahi ya hawa waheshimiwa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu
1. Mishahara,
2. GARI VX/V8(SUV) zenye utambulisho maalum (JR, J),
3. Ulinzi,
4. Dereva,
5. Nyumba,
6. Posho ya mavazi,
7. Mafunzo ughaibuni.
Bongo RahaNingependa kufahamu maslahi ya hawa waheshimiwa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu
1. Mishahara,
2. GARI VX/V8(SUV) zenye utambulisho maalum (JR, J),
3. Ulinzi,
4. Dereva,
5. Nyumba,
6. Posho ya mavazi,
7. Mafunzo ughaibuni,
8. Umeme,
9. Maji,
10. Airtime (muda wa maongezi)
11. Posho ya mavazi.
Mnyika wa CDM ana maslahi bora kuliko hao MajajiNingependa kufahamu maslahi ya hawa waheshimiwa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu
1. Mishahara,
2. GARI VX/V8(SUV) zenye utambulisho maalum (JR, J),
3. Ulinzi,
4. Dereva,
5. Nyumba,
6. Posho ya mavazi,
7. Mafunzo ughaibuni,
8. Umeme,
9. Maji,
10. Airtime (muda wa maongezi)
11. Posho ya mavazi.
Uteuzi mwingine (Mwenyekiti wa Bodi) au agombee urais unamsubir baada ya kustaafu baada ya miaka 70Ml 8 kwa kazi gani wanayoifanya?kwa kweli walipa kodi tunaumia sana bila sababu
Hayo maisha Safi sanaKuna faza mmoja ni faza ake jamaangu kabisa kulaleki maisha ya yule mdingi ni mazuri kwa kweli, mkononi utamkuta na rolex ya kununua crown mbili, anapush mpira mmoja wa hatari , anamabiashara, kama saivi imetoka hata iphone 15 lazima anayo, ana bonge la mansion Masaki, ye kila kitu kwake ni brand aisee, dingi sijawah kumwona na Toyota…Huyu mzee tukiwaga tumekwama ndio tunaendaga kutubu, ni myamwezi sana….
Kila november lazima liende ulaya kula good time, sijui anafanyaje fanyaje kupata hizo hela ila masta hela tutafute kwa nguvu sana watoto wake wote kawatafutia michongo anaetaka kuoa aoe na harus hazinaga michango ila mtakula na kunywa mpagawe , aloo ukienda jion maskani kwake, unakuta linapiga piga tizi za hapa na pale yan lile faza huwa ni li role model langu halinaga stress daaah…Hayo maisha Safi sana