Binadamu hatosheki!Ningependa kufahamu maslahi ya hawa waheshimiwa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu
1. Mishahara,
2. GARI VX/V8(SUV) zenye utambulisho maalum (JR, J),
3. Ulinzi,
4. Dereva,
5. Nyumba,
6. Posho ya mavazi,
7. Mafunzo ughaibuni,
8. Umeme,
9. Maji,
10. Airtime (muda wa maongezi kwenye simu zao za mikononi),
11. Posho ya vikao na safari.
NB: Ikiwa haya yote yanazingatiwa kuna ambae atakubali kuchukua RUSHWA kweli? Maana daah full raha
Haswa, walalahoi mnazo za kutosha!Majaji waboreshewe maslahi zaidi. Mshahara uanzie 13m kama wabunge
Utashangaa wengine humu wanapendekeza ati waongezewe!Ml 8 kwa kazi gani wanayoifanya?kwa kweli walipa kodi tunaumia sana bila sababu
Mshahara kati ya 7-10 m.Ningependa kufahamu maslahi ya hawa waheshimiwa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu
1. Mishahara,
2. GARI VX/V8(SUV) zenye utambulisho maalum (JR, J),
3. Ulinzi,
4. Dereva,
5. Nyumba,
6. Posho ya mavazi,
7. Mafunzo ughaibuni,
8. Umeme,
9. Maji,
10. Airtime (muda wa maongezi kwenye simu zao za mikononi),
11. Posho ya vikao na safari.
NB: Ikiwa haya yote yanazingatiwa kuna ambae atakubali kuchukua RUSHWA kweli? Maana daah full raha
Hapo sio kupambana,ni Bahati tu,Maana hizo ni nafasi za Uteuzi.Mhe.Rais ndiye anayewateu.Kwann Sasa vijana hawapambani wakawa majaji?
Mnatubu kwake?.Amekuwa Mungu?Kuna faza mmoja ni faza ake jamaangu kabisa kulaleki maisha ya yule mdingi ni mazuri kwa kweli, mkononi utamkuta na rolex ya kununua crown mbili, anapush mpira mmoja wa hatari , anamabiashara, kama saivi imetoka hata iphone 15 lazima anayo, ana bonge la mansion Masaki, ye kila kitu kwake ni brand aisee, dingi sijawah kumwona na Toyota…Huyu mzee tukiwaga tumekwama ndio tunaendaga kutubu, ni myamwezi sana….
Ndiyo hivyo mkuu.Mwenye nacho huongezewa,asiye nacho hunyang'anywa hata kile Kidogo alichonacho.Yanatunzwa vizuri lakini bado yanakula rushwa!
Unataka kuwa Jaji?Ningependa kufahamu maslahi ya hawa waheshimiwa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu
1. Mishahara,
2. GARI VX/V8(SUV) zenye utambulisho maalum (JR, J),
3. Ulinzi,
4. Dereva,
5. Nyumba,
6. Posho ya mavazi,
7. Mafunzo ughaibuni,
8. Umeme,
9. Maji,
10. Airtime (muda wa maongezi kwenye simu zao za mikononi),
11. Posho ya vikao na safari.
NB: Ikiwa haya yote yanazingatiwa kuna ambae atakubali kuchukua RUSHWA kweli? Maana daah full raha
Nikisema kutubu sio kwamba naenda kutubu kama Mungu mkuu, nikikwama nakubali nimekwama huyu mzee anatukwamuaga kwenye mambo mengi ndio maana yake masta, Muwe mnapita hata mtaa mjue lugha za mtaa, kwan we upo mkoa gani masta ? Mbona haiwezekan kutubu ulikosema wewe ukatubu kwa binadamu yeyote …
Mkuu ivi simu za vivo perfomance yake ikoje masta ? Sijawah kuziona sokoni hizo simu mkuu ? Ulinunua wapi ? Manake daah
Mahakama imejiwekea haiba yabkupuuzwa na jamii kwa sababu wanarambaza nyayo za watawala.Ningependa kufahamu maslahi ya hawa waheshimiwa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu
1. Mishahara,
2. GARI VX/V8(SUV) zenye utambulisho maalum (JR, J),
3. Ulinzi,
4. Dereva,
5. Nyumba,
6. Posho ya mavazi,
7. Mafunzo ughaibuni,
8. Umeme,
9. Maji,
10. Airtime (muda wa maongezi kwenye simu zao za mikononi),
11. Posho ya vikao na safari.
NB: Ikiwa haya yote yanazingatiwa kuna ambae atakubali kuchukua RUSHWA kweli? Maana daah full raha
Rushwa haikupaswa kuwepo maeneo hayo
Hamna kitu umesahau?🙂Ningependa kufahamu maslahi ya hawa waheshimiwa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu
1. Mishahara,
2. GARI VX/V8(SUV) zenye utambulisho maalum (JR, J),
3. Ulinzi,
4. Dereva,
5. Nyumba,
6. Posho ya mavazi,
7. Mafunzo ughaibuni,
8. Umeme,
9. Maji,
10. Airtime (muda wa maongezi kwenye simu zao za mikononi),
11. Posho ya vikao na safari.
NB: Ikiwa haya yote yanazingatiwa kuna ambae atakubali kuchukua RUSHWA kweli? Maana daah full raha
Kutoa hukumu ya bilionea wakati wewe mshahara wako ni laki mbili,huwa inahitaji moyo wa kipekee kutenda hakiMl 8 kwa kazi gani wanayoifanya?kwa kweli walipa kodi tunaumia sana bila sababu
Nani aliyekwambia usisome sheria?Ml 8 kwa kazi gani wanayoifanya?kwa kweli walipa kodi tunaumia sana bila sababu