Maslahi ya Majaji Tanzania yapoje?

Mnatubu kwake?.Amekuwa Mungu?

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Sasa umsumbue mungu kwa tatizo dogo la pesa? Mungu amekaimisha majukumu mengine kwetu sisi wenyewe....
So lazima vijana waungame kwa mzee awape ya ulanzi coz yeye jibu lake ni la papo kwa papo ila Mungu utamwomba hela ukiwa kijana akaja kukupa zimebaki wiki mbili ufe. Hachunguziki kabisa huyu Mungu
 
Ha ha ha ha ha ha ha hao wamba judges bila hata salary wanaishi. Kupitia hongo za kesi. Tena kwa hongo ndo chapaa ipo kuliko hiyo ya end of the month
 
Eskoti ya polisi kwa barabara na majini,lita sabini kwa wiki and everything.Nahisi kwasababu ya unyeti wa makesi mazito mazito wanayo shughulikia ndo mana wanapewa vipaumbele vizito vizito kama hivyo.
 
kwa taarifa yako, kuna majaji wengi tu wanatamani hata kutoka kwasababu kile wanafanya hakilingani na kile wanapata na lifestyle yao waliyowekewa. Pia, kwenye issu eya slaa, mahakama iachwe, yeye mbona kamwongelea jaji tu hajaongelea upande wa huyo tapeli?
Your browser is not able to display this video.
 
NDUGUUU SIKIA KWA WATU YAKIKUKUTA MAHAKAMAN UTAWAJUA
 
Historia inategemea ujaji aliupataje, ni kama teuzi tu na kamba ndef etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…