Masogange achukua uraia wa Afrika Kusini, Sasa kuitwa Thando

wasife ila washikwe tu huko wanakoendaga kufanya shopping according to wao,wakati tunajua wazi ni punda wanaenda upakua mzigo.wakuahikiwa hapa wataachiwa,huko wataipata fresh.wazazi wanaumia sana pale kijana anapoharibika na madawa,family yote inaumia japo hawalazimishwi kutunia lakin hawa the so called punda wanaharibu sana kaka na dada zetu.wahame tu nchi.
Mungu siyo athuman...majitu ya hovyohovyo yanazidi kupungua nchini...Lile lililokamatwa China nalo likinyongwa ewaaaaaaa...Ngoja nijipongeze na castle lite au kinana ya baridiiii hivina Wema, Kajala na wangese wengine watakufa liniiiiiii!!!!! yanakawia sana yanamaliza vijana tuuuuu kwa sembe!!!!
 
Hakika hii ni habari mbaya kwa nchi yetu maana yule celebrity class A ambaye ni role model wa watoto wa kike hapa Bongo ameamua kuchukua uraia wa south africa
Ama kwa hakika this is very sad, imagine mdada aliyetuletea sifa kwa kusafirisha panadol za 6 billion shillings kwenye bag to south africa, masikini wabongo wakamshambulia eti ni madawa ya kulevya lakini Mungu mkubwa, mahakama tukufu chini ya majaji wasomi wakamuona hana hatia

Kama mnavyojua kwakipindi cha miezi isiopungua mi nne sasa..Dada yetu Agnes Gerald aka Masogange aliamia nchini Afrika Kusini..Ambako kimsingi alipata bwana wa kuishinaye huko kama domozege ilivyolipoti mwezi uliopita...[SOMA HAPA]

Sasa leo hii asubuhi kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM masogange ametupia picha ya pasi ya kusafiria ya Afrika Kusini...na ku-caption alama ya kupiga makofi....hii nikuuonesha kuwa kwasasa sio raia tena wa Tanzania..kwa mujibu wa sheria zetu hapa Tanzania,haziruhusu uraia wa nchi mbili kwa hiyo kama ni kweli basi Masogange sio mtanzania mwenzetu tena...Baadhi ya watu waliocomment kumsifia ameonesha kuwajibu kwa furaha zaidi...

Dah haya mama maisha popote!!!

Aweke ndani tuone.
 
kumbe ukionyesha picha ya cover ya pasport ya nchi fulani automaticaly unahesabiwa kuwa umechukua uraia wa hiyo nchi?
basi na mimi nimechukua uraia wa USA.
dscn9890.jpg

Hahhaha haya bana hongera na wewe
 
Sasa yeye kuhamia SA inatuhusu nini sisi zaidi katupunguzia idadi ya watu tuu.Naibebe na familia yake asije akawasahau bure.Byee
 
Salaam wana Jamii,
Nawasalimu wote wazalendo,nimeshangazwa sana na hii habari ya kwamba Agness Masogange amekuwa raia wa South Africa.nimecheka sana sana na kushindwa kumezea hili jambo.kwa ufupi simfahamu sana huyu Agness bali nimewahi kupata uchafu wake kwenye internet hapo nyuma.
Napenda kua fahamisha kwamba Agness Masogange Hawezi kuwa na Uraia wa South africa kwa sasa.

1.kuapata uraia wa south Africa unatakiwa kwanza RESIDENCE VISA,na kupata residence visa unatakiwa kuishi nadhani si chini ya miaka 5 south Africa na kuonyesha shughuli unazo fanya wanaweza kukufikiria kukupa Residence visa.
-Je Agness amewahi kuishi South Africa zidi ya miaka 4?

2. Baada ya kupata residence visa ndio una apply sasa Uraia,mchako mzima unachukuwa miaka

3.Shutuma kama za kuingiza madawa ncini south africa ni vigumu kwa Agness Masogange kupata Uraia kwa Haraka hivi,ikumbukwe South Africa si kwa.............

reference:Citizenship by naturalization: You can apply for naturalisation if you comply with the provisions of section 5 of the South African Citizenship Act, 1995, namely:
Majors

    • You have a valid permanent residence permit or exemption
    • As a permanent residency permit holder you have had one year’s ordinary residence in the Republic of South Africa immediately prior to the application for naturalisation
    • After you acquired permanent residency you have had an additional 4 years of physical (actual) residence in the RSA during the eight years before the application for naturalisation (excluding the year of ordinary residence). Time spent in detention or residence subject to a condition do not count as ordinary or actual residence
    • Or you are married to a South African spouse, and you have had two years of permanent residence and two years of marriage to the South African spouse immediately prior to the application but after you acquired permanent residence status
    • Intend to continue to reside in the Republic or fall within the further categories specified in section 5(1)(e).
    • You are of good and sound character
    • You are able to communicate satisfactorily in any one of the official languages of South Africa.
    • You have adequate knowledge of the duties and responsibilities of a South African citizen
Minors

    • The responsible parent can apply on behalf of a minor at any time provided the minor permanently and lawfully resides in the Republic.

websitehttp://www.home-affairs.gov.za/index.php/citizenship1

Nawasilisha kama Mzalendo:cool2:
 
    • As a permanent residency permit holder you have had one year's ordinary residence in the Republic of South Africa immediately prior to the application for naturalisation
    • After you acquired permanent residency you have had an additional 4 years of physical (actual) residence in the RSA during the eight years before the application for naturalisation (excluding the year of ordinary residence). Time spent in detention or residence subject to a condition do not count as ordinary or actual residence
    • Or you are married to a South African spouse, and you have had two years of permanent residence and two years of marriage to the South African spouse immediately prior to the application but after you acquired permanent residence status
    • Intend to continue to reside in the Republic or fall within the further categories specified in section 5(1)(e).
    • You are of good and sound character
    • You are able to communicate satisfactorily in any one of the official languages of South Africa.
    • You have adequate knowledge of the duties and responsibilities of a South African citizen
Minors

    • The responsible parent can apply on behalf of a minor at any time provided the minor permanently and lawfully resides in the Republic.

websitehttp://www.home-affairs.gov.za/index.php/citizenship1

Nawasilisha kama Mzalendo:cool2:

Dah kwa hiyo celebrity wet u class A inawezekana hajawa raia? vipi hakuna hongo huko south afrique?
 
kumbe ukionyesha picha ya cover ya pasport ya nchi fulani automaticaly unahesabiwa kuwa umechukua uraia wa hiyo nchi?
basi na mimi nimechukua uraia wa USA.
dscn9890.jpg
Hii haitolewi kama karanga kuna watu wana zaidi ya miaka 10 Marekani wanaitamani hiyo na hawajapata.

Huyo Masogange asijidanganye kwamba Passport ya South Africa ni salama kusafirishia unga. Wanaigeria wameshazitumia sana na anachokitafuta huyu binti kwa sasa ni kufia jela au kunyongwa.
 
Salaam wana Jamii,
Nawasalimu wote wazalendo,nimeshangazwa sana na hii habari ya kwamba Agness Masogange amekuwa raia wa South Africa.nimecheka sana sana na kushindwa kumezea hili jambo.kwa ufupi simfahamu sana huyu Agness bali nimewahi kupata uchafu wake kwenye internet hapo nyuma.
Napenda kua fahamisha kwamba Agness Masogange Hawezi kuwa na Uraia wa South africa kwa sasa.

1.kuapata uraia wa south Africa unatakiwa kwanza RESIDENCE VISA,na kupata residence visa unatakiwa kuishi nadhani si chini ya miaka 5 south Africa na kuonyesha shughuli unazo fanya wanaweza kukufikiria kukupa Residence visa.
-Je Agness amewahi kuishi South Africa zidi ya miaka 4?

2. Baada ya kupata residence visa ndio una apply sasa Uraia,mchako mzima unachukuwa miaka

3.Shutuma kama za kuingiza madawa ncini south africa ni vigumu kwa Agness Masogange kupata Uraia kwa Haraka hivi,ikumbukwe South Africa si kwa.............

reference:Citizenship by naturalization: You can apply for naturalisation if you comply with the provisions of section 5 of the South African Citizenship Act, 1995, namely:
Majors

    • You have a valid permanent residence permit or exemption
    • As a permanent residency permit holder you have had one year’s ordinary residence in the Republic of South Africa immediately prior to the application for naturalisation
    • After you acquired permanent residency you have had an additional 4 years of physical (actual) residence in the RSA during the eight years before the application for naturalisation (excluding the year of ordinary residence). Time spent in detention or residence subject to a condition do not count as ordinary or actual residence
    • Or you are married to a South African spouse, and you have had two years of permanent residence and two years of marriage to the South African spouse immediately prior to the application but after you acquired permanent residence status
    • Intend to continue to reside in the Republic or fall within the further categories specified in section 5(1)(e).
    • You are of good and sound character
    • You are able to communicate satisfactorily in any one of the official languages of South Africa.
    • You have adequate knowledge of the duties and responsibilities of a South African citizen
Minors

    • The responsible parent can apply on behalf of a minor at any time provided the minor permanently and lawfully resides in the Republic.

websitehttp://www.home-affairs.gov.za/index.php/citizenship1

Nawasilisha kama Mzalendo:cool2:

U have a point lakini ungejiuliza tu ametojaje jela usingepata tabu Systeam ya South Africa tangu iingizwe mijitu myeusi imekuwa corrupt na ukumbuke Masogange ni miongoni mwa organised criminal gang, mimi naamini anaweza kupewa passport kwa connection za network yao.

Mimi binafsi nimeshawapa rushwa immigration wao zaidi ya mara moja Beitbridge na home affairs, Nawaamini Polisi wao sijui kama nao wameanza kuomba rushwa ingawa nina taarifa sasa hivi wakiwavamia wauza unga nakukuta xzibit pesa zote wanadhulumu na wanamkamata muhusika.
 
Acha aende aka act na porn kabisa hko soko jipya bongo alisha leak duuuh amesumbua saaana blog udaku ze utam raha tu mmmh

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Salaam wana Jamii,
Nawasalimu wote wazalendo,nimeshangazwa sana na hii habari ya kwamba Agness Masogange amekuwa raia wa South Africa.nimecheka sana sana na kushindwa kumezea hili jambo.kwa ufupi simfahamu sana huyu Agness bali nimewahi kupata uchafu wake kwenye internet hapo nyuma.
Napenda kua fahamisha kwamba Agness Masogange Hawezi kuwa na Uraia wa South africa kwa sasa.

1.kuapata uraia wa south Africa unatakiwa kwanza RESIDENCE VISA,na kupata residence visa unatakiwa kuishi nadhani si chini ya miaka 5 south Africa na kuonyesha shughuli unazo fanya wanaweza kukufikiria kukupa Residence visa.
-Je Agness amewahi kuishi South Africa zidi ya miaka 4?

2. Baada ya kupata residence visa ndio una apply sasa Uraia,mchako mzima unachukuwa miaka

3.Shutuma kama za kuingiza madawa ncini south africa ni vigumu kwa Agness Masogange kupata Uraia kwa Haraka hivi,ikumbukwe South Africa si kwa.............

reference:Citizenship by naturalization: You can apply for naturalisation if you comply with the provisions of section 5 of the South African Citizenship Act, 1995, namely:
Majors

    • You have a valid permanent residence permit or exemption
    • As a permanent residency permit holder you have had one year’s ordinary residence in the Republic of South Africa immediately prior to the application for naturalisation
    • After you acquired permanent residency you have had an additional 4 years of physical (actual) residence in the RSA during the eight years before the application for naturalisation (excluding the year of ordinary residence). Time spent in detention or residence subject to a condition do not count as ordinary or actual residence
    • Or you are married to a South African spouse, and you have had two years of permanent residence and two years of marriage to the South African spouse immediately prior to the application but after you acquired permanent residence status
    • Intend to continue to reside in the Republic or fall within the further categories specified in section 5(1)(e).
    • You are of good and sound character
    • You are able to communicate satisfactorily in any one of the official languages of South Africa.
    • You have adequate knowledge of the duties and responsibilities of a South African citizen
Minors

    • The responsible parent can apply on behalf of a minor at any time provided the minor permanently and lawfully resides in the Republic.

websitehttp://www.home-affairs.gov.za/index.php/citizenship1

Nawasilisha kama Mzalendo:cool2:

Africa unaijua vizuri lakini? Hayo maandishi tu cha muhimu faranga..unanunua hata uraisi..#lowasa
 
Kwani wafanya biashara wa sembe wanakuwa na passport moja!! Hilo amepata daraja la kuvukia tu,afungue ndani ,
 
Kuchukua uraia wa nchi nyingine sio dhambi tunao wabunge , mawaziri na watoto wenye dual nationality. ...hii ni Tz
 
Back
Top Bottom