Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
They will never know!kumbe ukionyesha picha ya cover ya pasport ya nchi fulani automaticaly unahesabiwa kuwa umechukua uraia wa hiyo nchi?
basi na mimi nimechukua uraia wa USA.
![]()
ishu za nyegge tu mkuu wala hamna cha maana. nahisi ataadika mitandaoni na sisi kukosa fahari ya macho.Kwanini mkuu. ?
wasife ila washikwe tu huko wanakoendaga kufanya shopping according to wao,wakati tunajua wazi ni punda wanaenda upakua mzigo.wakuahikiwa hapa wataachiwa,huko wataipata fresh.wazazi wanaumia sana pale kijana anapoharibika na madawa,family yote inaumia japo hawalazimishwi kutunia lakin hawa the so called punda wanaharibu sana kaka na dada zetu.wahame tu nchi.
Mfanyabiashara chipukizi (Mtanzania) Agness Masogange anadaiwa kupatiwa pasipoti ya kuishi Afrika Kusini kama raia wa nchi hiyo kutoka kwa mfanyabiashara mmoja raia wa Nigeria!
ondoa habari zako za kimbea hapaMfanyabiashara chipukizi (Mtanzania) Agness Masogange anadaiwa kupatiwa pasipoti ya kuishi Afrika Kusini kama raia wa nchi hiyo kutoka kwa mfanyabiashara mmoja raia wa Nigeria!
Mfanyabiashara chipukizi (Mtanzania) Agness Masogange anadaiwa kupatiwa pasipoti ya kuishi Afrika Kusini kama raia wa nchi hiyo kutoka kwa mfanyabiashara mmoja raia wa Nigeria!
Video vixen maarufu wa Bongo Agnes
Gerald maarufu zaidi kwa jina la
Agnes Masogange ambaye kwa miezi
kadhaa sasa amehamishia makazi
yake Afrika Kusini, amebadili jina na
huenda akawa raia wa huko!
Samahani mleta huu uzi'' wewe mwenyewe ukiusoma huu uzi unaelewa ulichokiandika?
Naomba unieleweshe tafadhali!!
Mfanyabiashara chipukizi (Mtanzania) Agness Masogange anadaiwa kupatiwa pasipoti ya kuishi Afrika Kusini kama raia wa nchi hiyo kutoka kwa mfanyabiashara mmoja raia wa Nigeria!
Video vixen maarufu wa Bongo Agnes
Gerald maarufu zaidi kwa jina la
Agnes Masogange ambaye kwa miezi
kadhaa sasa amehamishia makazi
yake Afrika Kusini, amebadili jina na
huenda akawa raia wa huko!
" Kuthibitisha kile ambacho kila mmoja
alifikiria (kuwa amebadili uraia)
Masogange baada ya muda mfupi
aliandika kuhusu kubadili na jina pia."
My new name is thando not Agnes
any more
kwan anafanya bisahara gan huyo chipukizi?????
kwan anafanya bisahara gan huyo chipukizi?????