Masogange achukua uraia wa Afrika Kusini, Sasa kuitwa Thando

Masogange achukua uraia wa Afrika Kusini, Sasa kuitwa Thando

Mkuu mimi naishi sauzi zaidi ya miaka 5 sijapewa uraia bado natumia asylum seeker..uyo mfanya biashara wako chipukizi apewe uraia sauzi unaijua vizuri wala unaiskia tu?? ondoa habari zako za udaku apa
 
Hata akipata anamzidishia nani ana mpunguzia nani? usituchoshe sie na mashaka yako.............
 
Anauza nyapu na sembe huko south...sasa hivi uwoya nae yuko south kumsaidia agness
Ahaaa bas atakua mfanya biashara mkubwa sana nahis south wanamkata sanaaa ile naniliiiii.............................................
 


Tuesday, August 5, 2014





Video vixen maarufu wa Bongo Agnes Gerald maarufu zaidi kwa jina la Agnes Masogange ambaye kwa miezi kadhaa sasa amehamishia makazi yake Afrika Kusini, amebadili jina na huenda akawa raia wa huko!




Kupita Instagram mrembo huyo mwenye umbo ‘matata' alianza kwa kupost picha ya pasi ya kusafiria ya Afrika Kusini kama ishara kwamba amepata uraia mpya wa nchi hiyo.




Kuthibitisha kile ambacho kila mmoja alifikiria (kuwa amebadili uraia) Masogange baada ya muda mfupi aliandika kuhusu kubadili na jina pia. "My new name is thando not Agnes any more"



Hivi karibuni Mwandishi alikutana uso kwa uso na Agness Thando jijini Durban, Afrika Kusini kwenye tuzo za MTV MAMA 2014, na katika mahojiano alisema kuwa kwa sasa amehamia kabisa Afrika Kusini na makazi yake yako jijini Johannesburg.

Kutokana na sheria za Tanzania ambazo haziruhusu uraia wa nchi mbili, hii inamaanisha Thando si mbongo tena....



Imetumwa Na: Emmanuel Shilatu at 9:33 AM










 

Kama hii ni kweli TANZANIA hatuna RULE OF LAW' MWAKYEMBE hawezi kumshitaki Raia wa SOUTHAFRICA kwa hakimu Mkazi wa KISUTU

Tunaichezea TANZANIA
 
Kuna watu hawana uraia wa nchi ht 1 hapa duniani!
 
Mungu siyo athuman...majitu ya hovyohovyo yanazidi kupungua nchini...Lile lililokamatwa China nalo likinyongwa ewaaaaaaa...Ngoja nijipongeze na castle lite au kinana ya baridiiii hivina Wema, Kajala na wangese wengine watakufa liniiiiiii!!!!! yanakawia sana yanamaliza vijana tuuuuu kwa sembe!!!!

Hahahahaaaa....we noma aisee
 
Duu kweli wewe ni Matoope!
 
Last edited by a moderator:
Tumepoteza mjasirimali mkubwa, ni nani kati yenu alishawahi kusafirisha vidonge vya almost 4 million usd to SA? acheni kuwa keyboard warriors na kubwabwaja hapa, she deserved presidential award kwa kuonyesha njia kwa vijana wengine ya kuwa milioneazzz

Yani wewe muda mwingine kama net work imekatika duu kweli maatope!
 
Back
Top Bottom