Masogange achukua uraia wa Afrika Kusini, Sasa kuitwa Thando

Mimi nazani Bell 9 ndie angesikitika kwa kumkosa video queen wa movie yake ya Uko mbali na Masogange...
 
Nenda masogange,usirudi tena bongo,umemtesa sana kijana wangu,ulimbemenda hadi akakuzalisha then,ukawa unarudi usiku kumuamsha ukiwa unatoka kwa mabwana zako,niliumia sana,potea kabisa nyambaf.
 
ntafurahi kama haya mamalaya mengine yaliyobaki yakimfuata mwenzao...:llama:
 
tehehehehehe,mkuu wacha yaendelee kuishi,maana yakifa yote hayo ma.mbwa kaka yangu shigongo atalala njaa,tehehehehehehehe.
 
Mfanyabiashara chipukizi (Mtanzania) Agness Masogange anadaiwa kupatiwa pasipoti ya kuishi Afrika Kusini kama raia wa nchi hiyo kutoka kwa mfanyabiashara mmoja raia wa Nigeria!

Video vixen maarufu wa Bongo Agnes Gerald maarufu zaidi kwa jina la Agnes Masogange ambaye kwa miezi kadhaa sasa amehamishia makazi yake Afrika Kusini, amebadili jina na huenda akawa raia wa huko!

" Kuthibitisha kile ambacho kila mmoja alifikiria (kuwa amebadili uraia) Masogange baada ya muda mfupi aliandika kuhusu kubadili na jina pia."

"My new name is thando not Agnes any more"

" Kutokana na sheria za Tanzania ambazo haziruhusu uraia wa nchi mbili, hii inamaanisha Agness (Thando) si mTZ tena"
 
Mfanyabiashara chipukizi (Mtanzania) Agness Masogange anadaiwa kupatiwa pasipoti ya kuishi Afrika Kusini kama raia wa nchi hiyo kutoka kwa mfanyabiashara mmoja raia wa Nigeria!

so what???
 
Mfanyabiashara chipukizi (Mtanzania) Agness Masogange anadaiwa kupatiwa pasipoti ya kuishi Afrika Kusini kama raia wa nchi hiyo kutoka kwa mfanyabiashara mmoja raia wa Nigeria!
ondoa habari zako za kimbea hapa
sisi tufanyeje sasa
 
Samahani mleta huu uzi'' wewe mwenyewe ukiusoma huu uzi unaelewa ulichokiandika?

Naomba unieleweshe tafadhali!!
 
Mfanya biashara chipukizi?

Hebu iweke wazi hiyo biashara yake, inaonekana inaingiza sana pato la taifa mpaka kusemwa semwa hovyo na vyombo vya habari..
 
Samahani mleta huu uzi'' wewe mwenyewe ukiusoma huu uzi unaelewa ulichokiandika?

Naomba unieleweshe tafadhali!!

Anasema paspoti ya kuishi! Au mimi ndo mshamba? Hebu nisaidie hapa mkuu. Paspoti ya kuishi ama ya kusafiria?
 
Pasipoti ya kuishi ama ya kusafiria? Umeniacha hapo mkuu.
 
kwan anafanya bisahara gan huyo chipukizi?????
 
kwa hiyo wewe mleta uzi unataka tufanyaje kama kapata hiyo passport
 
Duuuuuhhhh!!!!!! ushamba mwingine jaman, yaani wewe toka uzaliwe, leo ndo umemuona huyo agness kubadili uraia tu hajawai kuona wengine? njoo nikutembeze nikuonyeshe wabongo wenye pass za nje na tz wanaingia kwa visa!!!

chukua tm
 
kwan anafanya bisahara gan huyo chipukizi?????

ni Mfanyabiashara chipukizi wa kusafirisha kemikali aina ya ephedrine ambayo
inasemekana kuwa ni "DAWA"
ambazo malighafi yake inaweza
kutumika kutengeneza dawa za
kulevya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…