Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Kwa hiyo ni kweli now ameokoka?Sinunui mkuu, ila mashoga zake nipo nao karibu.
Mkuu niunganishe uko tanzagizaingelikuwa uko kwenye page ya Tanzagiza ungeona komenti hii "Wewe"... au "Hapo Chacha..." Machoyangu kaokoka hahaha
Hajaokoka huyo, msanii tuKwa hiyo ni kweli now ameokoka?
Okey Miss tukutanehata muheshimiwa ameokoka ! hawakutani hata kwa waliookoka kweli?
Akiwa anauza hivyo ni "everything goes" au anakuchagulia nini kiwe na nini kisiwe?Huyu alikuwa anaishiwa anauza mpaka laki kwa mgeni, na 50 kwa anaerudia, siku hizi hata laki 5 hataki, atakuwa amejishikilia sehemu siyo bure.
sidhani kama hata tuliwahi kuonana macho kwa macho, mimi namuona kwenye TV na magazeti nadhani na yeye ni hivyohivyo,
Mkuu hiyo sijui nadhani ni makubaliano yenu chumbaniAkiwa anauza hivyo ni "everything goes" au anakuchagulia nini kiwe na nini kisiwe?
mapendo daima.Hahaaa kuna ile salamu ya wapendwa
unataka akuonyeshe receipt?Umewahi kununua mkuu?
Kathibitisha tayari mkuuunataka akuonyeshe receipt?
Masogange alipohojiwa na gazeti la mtanzania alikuwa na haya ya kusema;
"Kwanza mimi nimeokoka, halafu huyo Makonda hata sijawahi kuonana naye ana kwa ana zaidi ya kumuona kwenye vyombo vya habari, mimi nataka wanaonishutuhumu waache kukurupuka wao wanapokutwa na tatizo waangalie njia ya kujinasua na si kusingizia wengine"
"Wamekurupuka na wananituhumu kwa kitu ambacho hawakifahamu, asimuhukumu mtu kwa historia mimi nishaokoka nina miaka mitatu sasa niko hapa nchini nafanya kazi zangu za halali,
hakuna asiyejua na sipendi kabisa kujihusisha na makundi yoyote yale kwa kuwa hawajui undani wa maisha yangu sasa wanaanza kuzusha na kuhusu uhusiano na mkuu wa mkoa, sidhani kama hata tuliwahi kuonana macho kwa macho, mimi namuona kwenye TV na magazeti nadhani na yeye ni hivyohivyo,
Nilishaacha kujihusisha kujihusisha na sanaa na burudani miaka miwili iliyopita sasa"
Nenda facebook, search tanzagiza, halafu LIKEMkuu niunganishe uko tanzagiza