Masogange aongoza kwa shepu nzuri A/Mashariki, Vera Sidika chalii

Masogange aongoza kwa shepu nzuri A/Mashariki, Vera Sidika chalii

vera sidika ni mkali zaid ya masogange mara bilion mbili

Sio kweli, vera kwa sasa hayupo natural, amejibadilisha kuanza rangi yake, butts, boobs zote ni plastic bana.
Corazon kwamboka ni mzuri zaidi ya vera sidika, vera sidika anaonekana mzuri baada ya kujibadili.
 
d7208941b8fae3635ff2980e557ce812.jpg
uyu ndio Corazon,rangi yake[emoji113]
Yaan huyu ni menene tofauti na masogange, tunapoongelea shape tunamaanisha no 8 huyo Dada hapo sio 8 maana Ana tumbo na tako lake lina mabonde
 
1472628471739.png
1472628485469.png

Huyo ndo vera ila naona vera Hana tako Bali Ana hips ila yuko vizr na yeye
 
Back
Top Bottom