Masogange aongoza kwa shepu nzuri A/Mashariki, Vera Sidika chalii

Hivi shepu nzuri ni kuwa na matako makubwa tepetepe? Na kufanyiwa kabisa mashindano? Utu wa mwanamke uko wapi hapa?staha zake kama binadamu tinaziweka wapi?
Kwanini wanawake wenyewe baadhi yao wanakuwa ndio kichokoo cha haya yote?
Mwenyewe nimebaki na mshangao, matako makubwa ndio shepu nzuri?!! ajabu hii,
 
Hivi shepu nzuri ni kuwa na matako makubwa tepetepe? Na kufanyiwa kabisa mashindano? Utu wa mwanamke uko wapi hapa?staha zake kama binadamu tinaziweka wapi?
Kwanini wanawake wenyewe baadhi yao wanakuwa ndio kichokoo cha haya yote?
Wenye makalio makubwa wapo wengi sema wameyasitiri na nguo za heshima, hawa ambao tunaona wanayo makubwa kwa kuwa wameyavalia skin tight, yaani kama sio issue ya maadili tukasema siku moja kila mwanamke avae tight mbona huyo ataonekana cha mtoto
 
Ana bonge la kipago....hatari sana
hebu mcheki pale kati..

rudi nyuma gonga like..

hatari sana

Lily-2-600x600.jpg
 
Hivi shepu nzuri ni kuwa na matako makubwa tepetepe? Na kufanyiwa kabisa mashindano? Utu wa mwanamke uko wapi hapa?staha zake kama binadamu tinaziweka wapi?
Kwanini wanawake wenyewe baadhi yao wanakuwa ndio kichokoo cha haya yote?
Cku hiz vijana Wanauliza... Lakin ana CHURA??
 
Back
Top Bottom