Masogange, Davido ndani ya "PENZI" zito

Masogange, Davido ndani ya "PENZI" zito

Inawezekana lakin, masogange kaumbika yule na ni rahis kumshawishi mwanaume yeyote ndan na nje ya nchi ,shepu tu kabarikiwa kazi kwa dada zangu akina mwafulan wenye sura nzito kama fenes shepu hawana wao wakazane tu kusoma wawe akina anna makinda, madanga ya maana wawaachie akina lulu na masogange watanue

Binamu eti riziwan anataka namba yako nimpe? Toka jana ananisumbua akii

Ha ha ha usimpe binamu nimeanza mmemkwa, nataka niwe kama ana makinda
make na mie sura fenesi shepu andazi
 
masogange ni mwanamke kama wanawake wengine sion ubaya kwa davido kufaudu mtoto mkare wanawake wanje ndo nn kwan davido mwafrika au mmarekan achen zarau wivu tu mtoto agnes kaumbika
 
masogange ni mwanamke kama wanawake wengine sion ubaya kwa davido kufaudu mtoto mkare wanawake wanje ndo nn kwan davido mwafrika au mmarekan achen zarau wivu tu mtoto agnes kaumbika

Mmh...to be candid yule demu nimemuona mara kibao, ukiondoa tako tu (tena la taiwan) ana lisura libaya, mikono sasa imekomaa kama fundi baiskeli, michunusi + kijikwatua kwa sana, hana pozi la kike, kubwabwaja tu ( shule ndogo) afu amekaa kimalaya malaya kila sector ya mwili wake kuanzia utosini hadi unyayoni.
 
TCRA mko wapi jaman? Au mnakamata akina warumi tu ??

Mmh eti chanzo cha karibu na masogange...akina mnalyy wadaku akii mxiewww

Hahaha! Mnally! Hivi huyu jamaa yupo? Bado yupo Bamaga?
 
Davido ana mkewe na wamepata mtoto few months ago...huyo atakuwa kaliwa tu uroda kama kuna picha za kweli labda kama ndio aliwahi mlangoni hotelini wakati ule alipokuja Dar.
 
Back
Top Bottom