Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Hamna kitu masongange alitumia lugha gani mana mdogo wake ndo humsaidia.Labda davido wa tandale...yan aache watoto wakal akadate na uchafu huo mxoewww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu masongange alitumia lugha gani mana mdogo wake ndo humsaidia.Labda davido wa tandale...yan aache watoto wakal akadate na uchafu huo mxoewww
Inawezekana lakin, masogange kaumbika yule na ni rahis kumshawishi mwanaume yeyote ndan na nje ya nchi ,shepu tu kabarikiwa kazi kwa dada zangu akina mwafulan wenye sura nzito kama fenes shepu hawana wao wakazane tu kusoma wawe akina anna makinda, madanga ya maana wawaachie akina lulu na masogange watanue
Binamu eti riziwan anataka namba yako nimpe? Toka jana ananisumbua akii
Dada vijana wa siku hizi hawafai, usiwalie amini we dharau. Strengh ya dada yetu si unaijua kujibinua na ....
Ahaha binamu k haina lugha akii, watu wanataka tak lile na sio lugha....haha
Mbona mimi natembea na Wassira....au hamtaki?
Dah! tuwekee na picha basi tuamini lile jukwaa la kule chini mwisho!
masogange ni mwanamke kama wanawake wengine sion ubaya kwa davido kufaudu mtoto mkare wanawake wanje ndo nn kwan davido mwafrika au mmarekan achen zarau wivu tu mtoto agnes kaumbika
TCRA mko wapi jaman? Au mnakamata akina warumi tu ??
Mmh eti chanzo cha karibu na masogange...akina mnalyy wadaku akii mxiewww
Mbona mimi natembea na Wassira....au hamtaki?
Hapo vepe
Unaeza uza nyumba ya urithi hapoKwa huo ndumku sishangai hata nikiskia George bush anataoka nae....
diamond ni kuwadi au