Masogange, Davido ndani ya "PENZI" zito

Masogange, Davido ndani ya "PENZI" zito

Uongo tu mimi wala siamini.Davido star wa dunia kakosa watoto wakalia hadi atoke na popoma masogange?
Thou nae ni mkali ila kwa hadhi ya Davido hapana aisee.

Mkuu ngoja nikwambie Kipindi fulani nilikuwa nakaa Atlanta huko nikaweza kujua maisha ya baadhi ya wasanii ambao zamani nilikuwa nikiwaona kwenye TV nilikuwa naogopa ila maisha yao ni kama kina chege chigunda baadhi ya wanamuziki ambao niliwajua in person ni pamoja na yung raph, yukmouth na Rich boy eneo ambalo my bro anakaa ni karibu na kwa nyumba ya producer mmoja anaitwa drumma boy so jamaa alikuwa na home studio yake so wasanii wengi walikuwa wanakuja kwa drumma boy na sie tulikuwa ni neighbourhood mtaani so nikawa nawaona wasani wengi kina T.i, Gorilla Zoe, Plies n.k sema hawa sikuwahi wazoea walikuwa wakija wanatoa hi kwa washkaji then wanaenda kwa drumma boy

sasa kulikuwa kuna mademu na wao wanakuja kujigonga kwa wasanii ma models na ma stripper wa mitaani na wasanii walikuwa wanawala kama kawaida mtu kama plies yule jamaa ni mchafu aisee

ilinishangaza sana so usitegemee kuona mtu kama Davido anakula masogange ukadhani eti davido ni star hakuna kitu kama hicho hawa jamaa wanakula wanawake wa ajabu sana mpaka utashangaa kuna malaya mmoja anaitwa lethal lips huyu ni malaya sijaona bongo aisee yaani lethal aliyekubuhu mpaka ame act porn kibao nilishangaa kusikia juelz santana , wizy na wao wamekula

full.jpg
 
Lotta sisters showing lotta love for a fellow sister, i guess i understand why. Truth be told, this hottie should be working it no diggity way, with Hollywood A-lists. Too bad the bigger the asset, smaller the brain. The likes of Kardashians pay huge money just to afford some of what a sister got from her mama for free.

MASOGANGE4.jpg

391292_360269984040908_984186905_n.jpg

AGNESS%25252BMASOGANGE.jpg
 
gOA79kk.jpg

Huyo demu kwa picha ndoo anaetoka na Davido jina lake Sira kante kutoka Guinea .

Huyo nungayembe wa kibongo (AgnesMa$otako) hana kitu kazi kupiga picha ya uvimbe wa nyuma tuuu utafikiri chakula kile .
 
Kakomaa magoti huyo demu wa davido hatari...ukigongana nae huyo
 
Uongo tu mimi wala siamini.Davido star wa dunia kakosa watoto wakalia hadi atoke na popoma masogange?
Thou nae ni mkali ila kwa hadhi ya Davido hapana aisee.

Acha wivu wewe....!
 
Mkuu ngoja nikwambie Kipindi fulani nilikuwa nakaa Atlanta huko nikaweza kujua maisha ya baadhi ya wasanii ambao zamani nilikuwa nikiwaona kwenye TV nilikuwa naogopa ila maisha yao ni kama kina chege chigunda baadhi ya wanamuziki ambao niliwajua in person ni pamoja na yung raph, yukmouth na Rich boy eneo ambalo my bro anakaa ni karibu na kwa nyumba ya producer mmoja anaitwa drumma boy so jamaa alikuwa na home studio yake so wasanii wengi walikuwa wanakuja kwa drumma boy na sie tulikuwa ni neighbourhood mtaani so nikawa nawaona wasani wengi kina T.i, Gorilla Zoe, Plies n.k sema hawa sikuwahi wazoea walikuwa wakija wanatoa hi kwa washkaji then wanaenda kwa drumma boy

sasa kulikuwa kuna mademu na wao wanakuja kujigonga kwa wasanii ma models na ma stripper wa mitaani na wasanii walikuwa wanawala kama kawaida mtu kama plies yule jamaa ni mchafu aisee

ilinishangaza sana so usitegemee kuona mtu kama Davido anakula masogange ukadhani eti davido ni star hakuna kitu kama hicho hawa jamaa wanakula wanawake wa ajabu sana mpaka utashangaa kuna malaya mmoja anaitwa lethal lips huyu ni malaya sijaona bongo aisee yaani lethal aliyekubuhu mpaka ame act porn kibao nilishangaa kusikia juelz santana , wizy na wao wamekula

full.jpg

kweli mkuu unajua ukisakuwa supastaa au kuwa na uwezo wa kuchukua yeyote mara nyingi huwa unaangalia
SKILLZ madem wengi wakali si mafundi wana aibu aibu pia washamba niliwasikia twista ati alikuwa anatoka na pinky yule porn star
 
ukishakuwa na mafanikio kifedha, ummarufu na km ujanani ulikuwa unawapiga piga hawa watoto wakare.. inafikia steji uangalii sura unakuwa na vigezo vyako specific
 
kumbe na ww chaumbea..hahahah kule kwetu pazuri umemwacha nani...??

Shosti mbea hana kijiwe....nikisutwa nitarejea.
Kwetu pazuri hawajaja TCRA leo?
Maana kule kila mtu wakala...na watufunge tu, maisha popote kambi.
 
shosti mbea hana kijiwe....nikisutwa nitarejea.
Kwetu pazuri hawajaja tcra leo?
Maana kule kila mtu wakala...na watufunge tu, maisha popote kambi.

sijaingia ngoja nikapachungulieeee...
 
Masogange ndio nchigani aisee?? Sie tupo bussy na uchaguzi we unaleta mapenz

Kumbe wakati wa uchaguzi no mapenzi......

Pole, uchaguzi utakuwepo na mapenzi yako pale pale
 
Back
Top Bottom