C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,743
Uongo tu mimi wala siamini.Davido star wa dunia kakosa watoto wakalia hadi atoke na popoma masogange?
Thou nae ni mkali ila kwa hadhi ya Davido hapana aisee.
Mkuu ngoja nikwambie Kipindi fulani nilikuwa nakaa Atlanta huko nikaweza kujua maisha ya baadhi ya wasanii ambao zamani nilikuwa nikiwaona kwenye TV nilikuwa naogopa ila maisha yao ni kama kina chege chigunda baadhi ya wanamuziki ambao niliwajua in person ni pamoja na yung raph, yukmouth na Rich boy eneo ambalo my bro anakaa ni karibu na kwa nyumba ya producer mmoja anaitwa drumma boy so jamaa alikuwa na home studio yake so wasanii wengi walikuwa wanakuja kwa drumma boy na sie tulikuwa ni neighbourhood mtaani so nikawa nawaona wasani wengi kina T.i, Gorilla Zoe, Plies n.k sema hawa sikuwahi wazoea walikuwa wakija wanatoa hi kwa washkaji then wanaenda kwa drumma boy
sasa kulikuwa kuna mademu na wao wanakuja kujigonga kwa wasanii ma models na ma stripper wa mitaani na wasanii walikuwa wanawala kama kawaida mtu kama plies yule jamaa ni mchafu aisee
ilinishangaza sana so usitegemee kuona mtu kama Davido anakula masogange ukadhani eti davido ni star hakuna kitu kama hicho hawa jamaa wanakula wanawake wa ajabu sana mpaka utashangaa kuna malaya mmoja anaitwa lethal lips huyu ni malaya sijaona bongo aisee yaani lethal aliyekubuhu mpaka ame act porn kibao nilishangaa kusikia juelz santana , wizy na wao wamekula