Masogange na DJ Avicii walizaliwa siku moja 1989 na wote wamekufa siku moja

Masogange na DJ Avicii walizaliwa siku moja 1989 na wote wamekufa siku moja

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
IMG_8457.JPG
 
Wabongo kwa kutunga hatujambo, hii itasamba huko whatsApp mpaka basi
 
Miaka 29 ana mtoto mwenye age more than 15, alizaa akiwa mdogo sana, ila sishangaa, nyakyusa wanasemaga ni maji mara moja
 
Hahaha halafu mmoja kafia bongo mwingine Oman kuna connection tena hapo na wa Oman
Ongezeni na hilo hatujambo kwa unoko
 
Back
Top Bottom